Wadau kuna mtu humu ambaye ameshaanza kutumia kingamuzi cha digitek, je muonekano wake upoje ni HD kweli. Umeki rate vipi.
Asanteni.
vinauzwa karibu na stend kuu njia ya kwenda mbingaOya kwa mkoa wa ruvuma tutapataje
Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
King'amuzi gani cha HD.
vinauzwa karibu na stend kuu njia ya kwenda mbinga
Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
King'amuzi gani cha HD.
Jamani,mbona tangazo la ITV linasema hakuna malipo ya kila mwezi.Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
Obviously hakuna chenga hata usingesema, au unadhani kuna kingamuzi au digital broadcasting yoyote yenye chenga duniani? Digital display ya TV ina output mbili tu, either unapata picha au hupati/inaganda, hayo mambo ya chenga yapo kwenye analogue.HD ni High Definition kwa maana kwamba muonekano wa picha zake ni wa kiwango cha juu sana na ziko clear. Hakuna chenga hata kidogo.
Obviously hakuna chenga hata usingesema, au unadhani kuna kingamuzi au digital broadcasting yoyote yenye chenga duniani? Digital display ya TV ina output mbili tu, either unapata picha au hupati/inaganda, hayo mambo ya chenga yapo kwenye analogue.
Dahhh... King'amuzi kwa gharama ya 160,000/-. Naona vingamuzi vinabanana na madishi. Kwa hiyo, ikiwa napanga kununua TV, inanipasa niongeze 160,000/-. Haya bana, sijui kama nitanunua TV mwaka gani. Nitabana humu JF, kwenye blogs n.k.
Jamani,mbona tangazo la ITV linasema hakuna malipo ya kila mwezi.
Jamani,mbona tangazo la ITV linasema hakuna malipo ya kila mwezi.
Jamaa hawatorudi nyuma,wanasema 18% ya watanzania ndiyo wana umeme,sasa ukisema watanzania wengi hawapati matangazo hayo matangazo unakuwa hauko sahihi. Si maneno yangu ni ya J.Makamba.Na hili lenye vyombo vya habari wanaosema baada ya mwezi mmoja hawarusha matangazo tena mnalichukuliaje ndugu zangu.Ni ukweli mtupu kuwa watu wengi hawajununua ving'amuzi hivyo habari kutowafikia.