Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
continental kiko poa sana
hd pia chanel za kutosha na juzi wameongeza movie chanel
mi na enjoy sana acha kabisa jamaa wamejipanga.poa pia kinaweza kurekodi vipindi katika flash
nimerecord hotuba ya j kikwete then naicheki sasa iko poa sana[/QU acha porojo sema kuna channel ngapi na channel gani?????
continental kiko poa sana
hd pia chanel za kutosha na juzi wameongeza movie chanel
mi na enjoy sana acha kabisa jamaa wamejipanga.poa pia kinaweza kurekodi vipindi katika flash
nimerecord hotuba ya j kikwete then naicheki sasa iko poa sana
Mimi napenda kujua bbc au aljara zippo humo?
mkuu naomba uniorodheshee majina ya channeli za ke ili nifanye maamuzi ya kununua au la,samahani lakini kwa usumbufu
itv.eatv.capital tv. Tbc. Ch 10. Clouds. Mlimani. Tbn 1&2 movie1&2. Ze cinema. Aljezera. Trenety. Baby tv
baadhi nyingine ntakutajia nikiwa om ila zinafika 60 adi 70
na kinalipiwaje kwa mwezi?
itv.eatv.capital tv. Tbc. Ch 10. Clouds. Mlimani. Tbn 1&2 movie1&2. Ze cinema. Aljezera. Trenety. Baby tv
baadhi nyingine ntakutajia nikiwa om ila zinafika 60 adi 70
Kinatumia dish au antena za kawaida???
wanafanyaje biashara???Bei yake ni 95000 kwa sasa pia
hakuna malipo kwa mwezi mi nimenunua tangu mwezi wa tano mpk leo ninacho na kinadunda tuu
Hawa nao wale wale 2 mm ninacho napata chanel 11
Chanel 10
Tbc
Citizen
Ntv
Dw
Voa
Star tv
Eatv
Capital tv
Bahati mbaya hata no za castomer care hazipatikani
Wajinga 2