km wao na mvua ni tofaut hawana utofaut na mtu aliebeba unga wa sembe.waboreshe mitamboWanasema mvua ikinyesha zima,hata kama ikinyesha mwezi mzima mfululizo uwe umezima
Nlijua kwangu tu
Aise hili nitatizo kwa azamtv yani shda.mm mwnyewe napata shda sna nahili tatizo nilifikiri nalangu tu kumbe wote...azam pls rekebisheni hili tatizo napia locol chanel wasituchaji watoe free.chanel za dini wamebase upande mmoja ya uislamu chanel kibao za kikristo hakuna hili pia waliangalie.
Wanasema mvua ikinyesha zima,hata kama ikinyesha mwezi mzima mfululizo uwe umezima
Napenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli.
Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
Hata DSTV inazingua mvua ikinyesha....hao wanatumia satelite mvua ikinyesha mawingu yanaathiri mawimbi ya sateliteNapenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli.
Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
Na wao wanasiamamisha uuzaj wa vifurushWanasema mvua ikinyesha zima,hata kama ikinyesha mwezi mzima mfululizo uwe umezima