King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

siyo wewe tu mie nimelipia lakini sizioni itv,star tv, channel ten, eatv na si mimi tu kila mwenye azam tv leo anali
a kwa hilo
Hata mie nimelipia ila hazionyeshi sasa inatoa msg hii " Access Resteicted. To subscribe to this cintent please contact customer support for more info".

Azam wenyewe hata simu hawapokei
 
Heee wakuu wamezirudisha Ila hazioneshi bali zina kaujumbe kameandikwa 'ACCESS RESTRICTED.TO SUBSCRIBE TO THIS CONTENT, PLEASE CONTACT CUSTOMER SUPPORT FOR MORE INFO'

CCM,JIWE oyeeee!!!
 
Izo zilikua enzi za Analogia sa hizi ni Digtal

Mambo Yamebadilika Watu wanaendesha hizi media kwa Gharama kubwa, Huko kulipia ndiko kunawapa motisha ili walete matangazo yenye kiwango na Bora.. Na wao kuna bil wanalipa bado wanawalipa wafanyakazi wao kuna Vifaa vinaharibika wanaitaji wanunue ili ubora wa Matangazo usipungue...

who knows sasa kila kitu kina gharama za uendeahaji wake
 
Hujaona zbc haijaathiriwa na hili tangazo? Cjui ata survive mpka lini huenda wakamwambia ahamishie studio kule
Daah sijui sheria yasemaje kwamba usajiri Zanzibar,ofisi na matangazo yarushwa tokea ardhi ya bongo...
 
Write your reply...wafungue channel zoote za full pageji ili watupooze wateja wake waliolipia mpaka wamalize matatizo yao
 
Kwanza mmeondoa taarifa ya habari ya Azam News. Tukajifariji angalau kwa kutazama ITV na Star TV. Jana saa 2 usiku natafuta ITV ili nitazame taarifa habari nashangaa siioni! Nikasema angalau nikimbilie Star TV nikashangaa nako hola! Nikabaki sina chaguo bali kutazama TBC1 pekee. Mbaya zaidi hata hakuna apology wala maelezo yoyote.

Tafadhali TCRA mtusaidie walaji kupata haki zetu.

Vv
 
Mimi mwenyewe mhanga wa hili channel nyingi kuanzia Jana hazionyeshi kuna maelezo yanaonekana yanasomeka hivi
HUDUMA IMESITISHWA KULIPIA CHANNEL HII TAFADHALI WASILIANA NA HUDUMA KWA WATEJA
cha ajabu number ya huduma kwa wateja nikiipiga naambiwa iko bize nimejaribu kupiga zaidi ya mala 10 bado naambiwa iko bize
Ndugu ikumbukwe tunalipa vifurushi vya mwezi na kufanya tusipo angalia bado pesa yetu inaendelea kutumika huu ni utapeli kama matapeli wengine
 
Azam,ishakua "mgema akisifiwa..........."anazani ameshatufunga kamba na ving'amuzi vyake
 
Ndo nataka nichukue Azam kesho kuna nn wadau mnanitisha nichukue kipi Kwa ajili ya Chanel za ndani
 
Back
Top Bottom