King'amuzi cha Azam Antena

King'amuzi cha Azam Antena

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
663
Nipeni changamoto zake, vipi hakina skarach kweli nataka nikinunue na mie sio kila siku muangalie nyie tu Mipira ya kibongo vipi chanel hazisui sui?
 
Kuna Thread Ipo Ina Wachangiaji Wengi
Pitia Huko Uchote Madini
 
Kuna Thread Ipo Ina Wachangiaji Wengi
Pitia Huko Uchote Madini
Thread inaitwaje mzee. Nielekeze namie Nina same problem. Nahitaji kuelewa tofauti ya Dish na Antenna decoders za Azam. Kabla sijanunua
 
Azam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.
 
Mzee naona unamwaga sumu tuu kila ukikutana na jina Azam
 
Azam wapuuzi kweli kweli ,walianza vizuri sana ,wameshalewa sifa,channels kibao wameziondoa,bora hata startimes kwasasa!! StarTimes 36k wao Azam 35k halafu utopolo mtupu.
 
Si hamia huko anapoona hakuna makolokolo
 
Azam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.
Azam wanacho boa ndio hicho wqnaojdoa channel hovyo hovyo
 
Wanauzi sana sitolipia tena mpaka warudishe channels zile nzuri za zamani ,bora nilipie kwa wachina kidogo channels zipo.

Wengine tunapenda Nigeria Movie ,hakuna hata channels ya Kinageria , E! Entertainment hakuna , Fine Living House Hunters nilikuwa napenda kucheck Mansion ,sasa ni mautopolo tu ,wamebakia na Utv/Azam 2 tena kwa tamtgilia tu kina kurfi .ertugu etc
 
Back
Top Bottom