kingamuz cha continental na digtek

juan david

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
3,976
Reaction score
5,466
nilikuwa naomb kujua chanel za movie na sport katik vingamuz vya continental na DiGTEK
 
Bado hakijafika sokoni star times anapiga bao
 
ITV walitoa tangazo la king'amuzi cha digtek kuwa kitauzwa sh 160,000 na hakuna malipo ya mwezi. Chn 20. Kumi za Tz na 10 News za nje.
 
ITV walitoa tangazo la king'amuzi cha digtek kuwa kitauzwa sh 160,000 na hakuna malipo ya mwezi. Chn 20. Kumi za Tz na 10 News za nje.

Ok kwa muda gani itakuwa bila malipo ya mwezi au miaka yote?
 
Ok kwa muda gani itakuwa bila malipo ya mwezi au miaka yote?

Kwa hz chnls 20,hazitakuwa na malipo ya kila mwezi kwa muda wote kwani zote ni FTA. Ila kwa package ya encrypted channels,hapo tutegemee malipo. Hata mpaka sasa hawajatoa list yake.
 
Hawa vigeugeu!...mara leo wameomba kuwa warudi kwenye analojia, maana wanapoteza waangaliaji wengi wasio na uwezo wa kununua ving'amuzi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…