Kinga ya bunge dhidi ya mh:Pinda

wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
Duhhh,
yaani mtu umemuona kwenye tv kisha ukajua kuwa ni mchagga?
Kweli bange ni mbaya, kama sio bange vitakuwa ni vitu vingine tu vya kimila kama laana, kubemendwa na makuzi mabaya
 
hawa wanaharakati tunaowalipa buku kumi tu wanaenda kutoa matamko na tutaendelea kuwatumia tu.
 
Duhhh,
yaani mtu umemuona kwenye tv kisha ukajua kuwa ni mchagga?
Kweli bange ni mbaya, kama sio bange vitakuwa ni vitu vingine tu vya kimila kama laana, kubemendwa na makuzi mabaya
mpaka wanakadi za chadema wakati ukifika tutawaweka wazi.
 
Ile kauli haikuwa imetulia na haitatulia mpaka Pinda aifute,mtu mwenye akili timamu hawezi kukurupuka na kauli za dizaini ile vinginevyo amechoka na hana jinsi nyingine ya kukabiliana na wanaomkosoa........
 
hawa wanaharakati watatafuta pa kujificha pindi chadema itakaposambaratika.
 
Duhhh,
yaani mtu umemuona kwenye tv kisha ukajua kuwa ni mchagga?
Kweli bange ni mbaya, kama sio bange vitakuwa ni vitu vingine tu vya kimila kama laana, kubemendwa na makuzi mabaya
kwenye ITV wana kawaida ya kuandika majina pale chini.... kuhusu bange mvutaji anajulikana ni yule mheshimiwa wa arusha hata wapiga kura wake wanajua, hata vimacho vyake vinaonyesha.
 
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Kwa hiyo kinachomlinda ni kinga tu ya kuongea ndani ya bunge, kwa hiyo unakubali kwamba kavunja katiba?
 
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.

hata wao wanazijua sheria. Waziri mkuu aliongea kama kiongozi wa serikali na si kama mbunge. Halafu suala la wanaharakati kusapoti maandamano ni sawa kwani ni haki kikatiba. Ingekuwa sio haki katiba ingekataza. Kwani hayo maandamano mnayaogopea nini?
 
Kwa hiyo bunge ni hanga la kulinda na kueneza ujinga wa watu Fulani. Pinda na wenzake wametumwa na wananchi kusimamia na kulinda Katiba ya nchi, sharia na kanuni husika na sio kwenda kuonesha umahiri katika kutekeleza ujinga wao na kusigina katiba ya nchi
 
Hawa majamaa walitaka kwenda mahakaman kuipinga tume ya katiba,mwisho wa siku wakaja kuikubali rasimu!!

Leo wanataka kwenda kumshtak pinda kwa alichokisema bungen ilhali anayo kinga inayomlinda,

kwan ishu ya polisi kupiga watu imeanza leo??mbona hata kabla pinda hajatoa hiyo kauli polisi walikua wanapiga tu watu jaman?

Mm nadhan wote,pinda na yule mhe aliesema atahakikisha nchi hii haitatawalika na kweli imeanza kutotawalika,wote tuwapeleke tu mahakaman!!
 
Katiba ndio sheria mama,sheria nyingine zooote zinatokana na katiba,kwa mantiki hiyo basi kama sheria inakinzana na katiba kwa vyovyote vile katiba itasimama juu ya hiyo sheria.

What you have noted is absolute true(in eye of the law).
Mr.Pinda is in breach of constitutional provisions( rule of law) of the Constitution of the United Republic of Tanzania,1977(as amended time to time). Being the case then according to constitutional principles; the constitution is the mother law.All laws in the country must be in-conformity to the constitution of that country. It should be noted further that, in a situation where any law(Acts,Rules,Regulations,Orders) is in conflict with the constitutional provision, then automatically the constitutional provision prevails. In this case, the constitutional provision is on rule of law by all colors must prevail over the provisions of immunity of the parliamentarians when in parliament, as provided in that particular act.

WHEREFORE the case against Mr.Pinda sustains.

Hapo hakimbii mtu!
 
mwita ke mwita nilikuwa sijui kama pinda ni mbunge, mi nikajua ni wa viti maalumu
Pindwa Ni Mbunge Wa Viti Maalumu Kutoka Lumumba Coz Uchaguzi 2010 Jimboni Kwake Hawakupiga Kura Kumchagua Bali Aliteuliwa Na Lumumba Fc...liwalo Na Liwe Lazima Afungwe Tu....tumechoka Sasa Naafungwe Tu....
 
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?

Utakua unaliwa wewe na inawezekana hujaoga!
 
kwenye ITV wana kawaida ya kuandika majina pale chini.... kuhusu bange mvutaji anajulikana ni yule mheshimiwa wa arusha hata wapiga kura wake wanajua, hata vimacho vyake vinaonyesha.

Usimsahau mwigulu na serukamba nao pia wanapumua moshi,ila na mkuu wa kaya naye anakula mjani pia
 
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.

Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakuwa Waziri Mkuu ambaye ni mteule wa Rais? Kwa hiyo waziri mkuu au mbunge yeyote akitamka akiwa bungeni kuwa kwa mfano, "kuanzia leo hakuna mtu anayeruhusiwa kuabudu Tanzania, atakaye kaidi amri hii, apigwe, nasema apigwe tena sana" watu wakae kimya tu kwa kuwa ana Mh. Waziri Mkuu ana kinga! Itakuwa ni nchi ya ajabu.
 
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?

kum...yo zako
 
Back
Top Bottom