Kuweka picha ya hivyo ndo kufaidi kama ni kitu chema hebu tupia picha ya mwanao akiwa matiti yakiwa nje,utu wa mwanamke ni matiti yake lakini mwaona fahari juu ya hili,ole iko siku.
Nashangaa mod.kuacha picha kama hii,inayokwenda kinyume cha maadili.