Navyojua, hakuna kitu kama hisa hapa JF ila kuna kitu chaitwa premium member. Premium member ni yule aliyependa kwa hiari yake kuchangia JF ili ipate uwezo wa kuwa hewani kwa kutoa angalau sh 10,000 kima cha chini. Hata wewe waweza kuwa premium memba ukiamua. Ila sijui kama King Kong III NI P premium member au la ila ni mwanaJF wa siku nyingi na anapenda sana kuchangia. Kama hapendi thread yako anapenda kusema:"Mbombo Ngafu!".Atakuja punde na atajieleza zaidi.