King Kiba amla Sadala Chenga ya Mwili

King Kiba amla Sadala Chenga ya Mwili

mahaba hayo

wanao comment nyimbo za kiba ni wengi sana na inaonyesha loyal kwa kiba!!!!!

Diamond wanakuwa entertained wanasepa!!


muda huu wimbo mbaya jealous una watu 2.9m na wimbo mzuri wa diamond una 2.8m

halafu wewe kinyamkera unasemaje?
tulia mtoto mdogo aya mambo makubwa sana huwez elewa
 
Subiri the end of the game itaishiaje Mara nyingi Ngoma za Kiba zinaweza kuanza kwa kasi alafu zinaishia na 10M wakati za mondi zinagonga huko kuanzia 30M+ save this comment hiyo Ngoma ya Kiba itapigwa game kubwa after one month
hii comment ifanyieni lamination
 
mahaba hayo

wanao comment nyimbo za kiba ni wengi sana na inaonyesha loyal kwa kiba!!!!!

Diamond wanakuwa entertained wanasepa!!


muda huu wimbo mbaya jealous una watu 2.9m na wimbo mzuri wa diamond una 2.8m

halafu wewe kinyamkera unasemaje?
Mbona kawaida Salute ilipita, Kamata views wakati zinatoka sasa katizame sasa hivi nani ana views nyingi. Hapo ndipo utakapojua nani mashabiki zake ni loyal.
 
Back
Top Bottom