King David anaishi ndani ya Mtibeli

King David anaishi ndani ya Mtibeli

zee_latown

Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
73
Reaction score
151
Kama hiki kitu wanaita reincarnation ni real,, basi ni dhahiri kuwa huyu mfalme daudi wa kwenye vitabu vitakatifu anaisi ndani ya taikon wa fasihi ndugu robert heriel... nimemfuatilia sio sana and i don know him that much. hoja hii inalala kwenye misingi ifuatayo:

UJASIRI
the dude is super bold. anajiamini na anjua nini anafanya... to prove that avatar ameweka picha yake halisi... huu ni ujasiri kama ule alionao daudi wa kujikubali

UJANJA UJANJA NA UJASUSI
king david kwa nilivyomsoma alikuwa na asili fulani ya kujipenyeza penyeza (infiltration), na ujanja ujanja mwingine jumlisha usiri usiri

KANUNI NA MASHARTI
king david alikuwa ni mtu wakanuni kanuni hivi... ni mjanja mjanja na thats why alimu ektia Akishi na akaaminika.... ni bingwa la ku play victim. pia alimpa sharti Abneri la kwamba ili wapatane basi ni sharti aende pamoja na mke wake Mikali.

KUPENDA PISI KALI
daudi wanawake wengi alioa walikuwa wazuri. mtibeli amesema humu mara kadhaa kuwa hatoki na pisi mbovu... anajiamini na anajua anachokisema.

huenda hata mtibeli mwenyewe anafanya haya bila kujua anatembea mule mule kwenye nyayo za King david... hii kitu ya reincarnation ni real sana. Mshana Jr mambo yako haya
USIRI mtibeli ni mtu wa kupoteza sana watu maboya, anajua kuchezea feelings za wengi humu... just like the way king david did. mtibeli ni msiri msiri hivi kwa msiomfuatilia btn lines... david pia alikuwa the same. alidiriki mpaka kumdanganya yule priest ili apate upanga wa Goliath.

Kuna similarities nyingi sana kati ya watu hawa, nyingi sana.
huenda hii reincarnation ni real na King david's soul inaishi ndani ya Robert Heriel mtibeli.

NB
ni jukwaa huru hili, na huu ni mtazamo binafsi.
No malice to any body
 
USIRI
mtibeli ni mtu wa kupoteza sana watu maboya, anajua kuchezea feelings za wengi humu... just like the way king david did. mtibeli ni msiri msiri hivi kwa msiomfuatilia btn lines... david pia alikuwa the same. alidiriki mpaka kumdanganya yule priest ili apate upanga wa Goliath.

kuna similarities nyingi sana kati ya watu hawa, nyingi sana.
huenda hii reincarnation ni real na King david's soul inaishi ndani ya Robert Heriel mtibeli.
NB
ni jukwaa huru hili, na huu ni mtazamo binafsi.
No malice to any body

Mkuu Kwanza nashukuru kwa kunipa maua haya ambayo Kwa kweli ni kama maua mazito ya heshima.
Naona kama umezidisha Dozi na sifa hapa kichwa kilivyojaa sijui kama nitaweza kunyanyuka.

Ukweli ni kuwa mambo mengi ninayoandika ni mambo ya kawaida ambayo naamini watu wengi wanayokichwani.
Ishu ni ule ujasiri wakuyazungumza public hapo ndipo wengi wanaona Jau.
 
siongelei uandishi pekee mkuu. ingawa sometimes sikubaliani na unadikacho, lakini kwa muda mfupi niliosoma articles zako na reaction zako kwa watu, nikawa nakumbuka hadithi za king david... maybe reincarnation is real. mnafanana mno on my opinion.
nb
mimi ni msomaji mzuri wa Biblia
 
Kama hiki kitu wanaita reincarnation ni real,, basi ni dhahiri kuwa huyu mfalme daudi wa kwenye vitabu vitakatifu anaisi ndani ya taikon wa fasihi ndugu robert heriel... nimemfuatilia sio sana and i don know him that much. hoja hii inalala kwenye misingi ifuatayo:

UJASIRI
the dude is super bold. anajiamini na anjua nini anafanya... to prove that avatar ameweka picha yake halisi... huu ni ujasiri kama ule alionao daudi wa kujikubali

UJANJA UJANJA NA UJASUSI
king david kwa nilivyomsoma alikuwa na asili fulani ya kujipenyeza penyeza (infiltration), na ujanja ujanja mwingine jumlisha usiri usiri

KANUNI NA MASHARTI
king david alikuwa ni mtu wakanuni kanuni hivi... ni mjanja mjanja na thats why alimu ektia Akishi na akaaminika.... ni bingwa la ku play victim. pia alimpa sharti Abneri la kwamba ili wapatane basi ni sharti aende pamoja na mke wake Mikali.

KUPENDA PISI KALI
daudi wanawake wengi alioa walikuwa wazuri. mtibeli amesema humu mara kadhaa kuwa hatoki na pisi mbovu... anajiamini na anajua anachokisema.

huenda hata mtibeli mwenyewe anafanya haya bila kujua anatembea mule mule kwenye nyayo za King david... hii kitu ya reincarnation ni real sana. Mshana Jr mambo yako haya
USIRI mtibeli ni mtu wa kupoteza sana watu maboya, anajua kuchezea feelings za wengi humu... just like the way king david did. mtibeli ni msiri msiri hivi kwa msiomfuatilia btn lines... david pia alikuwa the same. alidiriki mpaka kumdanganya yule priest ili apate upanga wa Goliath.

Kuna similarities nyingi sana kati ya watu hawa, nyingi sana.
huenda hii reincarnation ni real na King david's soul inaishi ndani ya Robert Heriel mtibeli.

NB
ni jukwaa huru hili, na huu ni mtazamo binafsi.
No malice to any body
Kuhusu kuweka pi

cha yake halisi hilo nakataa, mtibel hawezi kuwa bishoo au GEN Z namna hiyo.
 
Back
Top Bottom