Kinana; Utetezi wa Serikali na CCM

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Kufuatia utetezi wa uliotolewa Bungeni na serikali na CCM juu ya tuhuma za kuhusika kwa Kinana na utoroshaji wa nyara za serikali. Utetezi ambao umejikita ktk hoja kwa kuna majukumu mbalimbali ya vyombo na asasi ktk usafirishaji mzigo incl nyara za serikali!

Kwa mantiki hiyo hiyo tunaomba serikali kuwafutia mashtaka/kuwaomba radhi wale wote ambao mali zao kama nyumba, magari yalikamatwa aidha ktk ujambazi, usafirishaji bangi na yanayofanana na hayo kwa kigezo hicho hicho kinachotumika kumsafisha Kinana.
 
Kinana ni JANGIRI hata wampake rangi vipi,criminal and shameless secretery general wa CCM.
 
Back
Top Bottom