Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Masheikh wamekamatwa Zanzibar, kwa nini washtakiwe bara? Pili, ina maana Kinana na serikali yao hawajui due process maana tayari ameshawahukumu kuwa ni magaidi. Katibu Mkuu wa Chama ambaye hajui due process ni balaa
 
Just imagine tarehe 1 November 2015 Kinana atakuwa wapi kama kweli mawazo yake ni haya?! Natafakari tu kwa sauti
 
The thread Author is right except for one thing, Lowassa doesn't stand any chance of winning the presidential elections, the bunch of his supporters are a mere group of followers who are just happy that their camp has received a person who's familiarity with politics surpasses that of their former flag bearers who vied for the same position in the past and hence the sympathy and intentional disregard for his past questionable actions on their part otherwise they too know well that he isn't someone right for the position. In short, they are just a bunch of people who had no hope before he fell into their flock and they are now using him as a trump card hoping to win. Apart from those, the rest of Tanzanians have the wisdom to separate between a true leader and someone who wants to rule by all means. Someone who is prepared to use all means necessary including the application of actions which are almost criminal.
 
kinana amenifanya nihamie ukawa rasmi, kwani amedhihirisha kuwa ccm imeshindwa kushawishi wapigakura na kuanza kushawishi wasio husika
 
kuna upotoshaji mwingi sana kwenye hili andishi. this is shame.
 
kuna upotoshaji mwingi sana kwenye hili andishi. this is shame.


...Uamsho or "Awakening", an Islamic terrorist group with known links to Boko Haram.
Kinana hizo ni siasa za maji taka na siasa za kizamani sana. Tumewazowea na hata Jumuiya za Kimataifa zimewazowea kwa uongo wenu huo. "Ewe mwana siasa chunga ulimi wako elewa ya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi".- Mengi
 
Just imagine tarehe 1 November 2015 Kinana atakuwa wapi kama kweli mawazo yake ni haya?! Natafakari tu kwa sauti
Atakimbilia kwao Somalia akajiunge na Al-shabab huko. Sijui watampa ukatibu mkuu huko?
 
Hizi habari pia zinapatikana katika twiter ya George Roberts, Sasa na David Korenke.

Jambo moja kwa wenye kuwatawala watanzania ni kuwa M/Mungu wa kweli hafi, hasinzii, wala kulala hivyo wamuogope yeye mwenye uwezo wa kutesa kiwiliwili na roho.

Watawala wanaelewa na nafsi zao zinawasuta ya kuwa UAMSHO hawahusiki na chochote kile ambacho wanachoshtakiwa nacho na ndio maana huu ni mwaka 4 wamewekwa kizuidhini bila kupatikana ushahidi wa kuwashtaki.

Ikiwa lengo la watawala wanaotawala Tanganyika ni kuendelea kuitawala Zanzibar kwa nguvu hata ikibidi kutoa roho za baadhi ya watu nadhani hilo halitowezekana tena kwa miaka inayokuja, maana wazanzibar kwa umoja wao tayari wameshafahamu na kuelewa ninani adui yao namba moja! Na kwa muamko huu walionao wazanzibar sasa hatunabudi kuwashukuru na kuwaombea maisha marefu na yenye afya tele kikundi cha UAMSHO kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuwaamsha na kuwaunganisha wazanzibar na sasa wanamjua ninani ADUI YAO.
 

u have anything else?
my votes go to lowassa/ukawa.
 
Haya kauli za mh. Lowassa zimeudhi wakubwa huko duniani .
Hebu jisome mwenywe hapa

Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill -
 
Kwani wao ndo wanapiga kura au ni sisi?!! waambieni wawapigie kura sasa tuone CCM. Mwaka huu ni ​mabadiliko tu basi.
 
Watanzania ndo tunapiga kura na si wamarekani
 
Mbona sisi hatukuwachagulia wao rais.....watuache
 
Subiri virungu tu....maana hutaaamini mmeshindwa

Oooooh kumbe umetumwa!
Hahahahaa pole sana Watu
Sisi hata magufuli akihamia chadema leo tutamchagua tu...!
Tunachohitaji ni CCM kutoka.


Mabadiliko kwanza...mtu Baadae!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…