Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

^^^M^^^A^^^G^^^U^^^F^^^U^^^L^^ ^I^^^^©2015 Ven conmingo si quieres vivir °°°°°°°°°°°°
°°°°°°°°°°° magufuli si la presidente en la
Tanzaniano.
Grac-ous..... >^^^^^>>>^^^^^>>^^^^^>>>^^^^^^
>>>>>^^^^^^
#HaPaKaZiTu
Imejipost
 
"Rejected by voters...." When, how and where?! Kweli inabidi ujitoe akili ndo uitetee ccm... Khaaa! Huyo ni mtu mzima kabisa na kuna watu wanamwelewa!
 
Kaongea mengi ambayo hayana uhusiano wowote na Lowassa.

Kama Kinana ana appeal kwa wazungu wamsaidie nafikiri hajui anachokilenga watakaopiga kura ni watanzania sio wazungu.

Common citizens wanajua wahusika wa matukio yale kuwa yalikuwa yakupangwa na serikali, hata wazungu anaofikiri ni wajinga wanajua mhusika ni nani, kwa kumkumbusha tu wazungu wenyewe walikuja kufanya uchunguzi wao wakaacha picha ya mhusika.

Ukiona chama tawala kinaingia kwenye propaganda chafu namna hii jua maji yako shingoni.

Ila alichonifurahisha ni kusema ukweli kuwa Lowassa anaweza kushinda,

"If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today,....".
 
Naona hii ni hofu ya kupoteza tenda ya kusambaza vipusa. Haya mawazo mgando ya kinana hayana nafasi hata kidogo ndani ya Tanzania yetu. Nchi itakuwa na amani ya kutosha na kupitiliza ccm ikiondoka madarakani. Zaidi idadi ya tembo na twiga wataongezeka mara dufu.
 
Kama wapiga kura wakiamua kuwapa UKAWA kura za kutosha ni nani wewe unayeweza kuzuia matakwa ya wapiga kura? Au mnalazimisha tuwapeleke ICC? Tanzania ni ya watanzania na kamwe si mali ya wahafidhina na mafisadi wachache na familia zao
 
Kinana anawaita waislam wenzake magaidi kisa tu kuikoa ccm?
 
Chetta
umeniacha hoi jamani
its just the lack of kicks of the diying hyena
haahahahahahahhaahahahahahahahahhaahha
 

Kinana pia yuko kazini _ ni Kanali wa TPDF aliyeshiriki medani zote za ulinzi wa nchi yetu. Bravo bravo. Kama kuna mtu anathubutu kumpinga kwa ajili tu ya kujipatia marks kwa Fisadi Lowassa aliyesema atawaachia terrorists wa UAMSHO waliouwa watu weti Waislamu kwa wWakeisto mashehe kwa mapadiri misikiti kwa makanisa. Haja yake tuangamie yeye aende Ikulu.
No No No. Kila mtu aseme No No No. WM
 
tehteh...propaganda at its purest form............


Rubbish! What propaganda? Huwajui UAMSHO? Hawakuua Padri? Hawachoma makanisa? Hawakumwagia acid yule Sheikg aliyewakatalia mopango yao dhalimu kuitekeleza kupitia msokiti wake? Hujui kwamba wamekatwa? Hujui kwamba wako Mahakamani? Hujui kuwa Fisadi Lowassa kaajidi kuwaachia? Propaganda iko wapi hapa - au wewevndiyo propaganda? Shame on you! WM
 
msaada tafsiri wa uzi huu kwa kiswahili, yaani nimetoka patupu lugha za watu hizi
 
Hawa CCM ni nani aliye waroga!? Wananchi washafanya maamuzi na kinacho fiata sasa ni kusubiria hiyo October 25 tu badili hii regime.

Ni wamanchi gani hawo walioamua? Wamuweke fisadi kung'oa mafisadi? Awaachie UAMSHO waue wakristo na kuwa ISS? SPEAK FOR YOURSELF HAKUNA WATANZANIA WALIOKWISHA AMUA.
 
BREATH IN............BREATH OUT............RELAX....



































































































....Ok go on........
 
Bora ameandika kingreza. Mungu mkubwa. Sijamuelewa
 
Haki ya mama CCM ikitoka madarakani lazima Kinana na mafisadi wengine wawekwe jela waozee huko.We cannot afford to be made fools like this.Inauma sana.Sisi watoto wetu waende shule za kata lakini wengine watoto wao waende shule za kimataifa, tena kwa kutumia resources walizotuibia.Hatukubali, tutalala nao mbele.
Tushaaamua,ajiandae kurudisha tembo wetu huyo msomali
 
Ukisoma between the lines unaona kuwa Lipumba hakujiuzulu kwa ajili ya kuheshimu dhamira yake bali kuunga mkono Serikali (ya CCM) kuhusu Lowassa. Sasa naona wanazidi kumuumbua mzee wa watu. Pia Kinana anasema "Moderate Opposition "Leaders" kwa maana ya haya maneno na Dr Slaa (Mzee wa kula mihogo) na yeye alijiuzulu kuunga mkono hili.

Tutaona mengi mwaka huu. Hapo naona wanawatisha wazungu wasimuunge mkono Lowassa. Wananchi ndio wana sauti ya mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…