Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura

Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura

EL ni kiongozi. Anatisha ndo maana wasiotaka viongozi shupavu hamtaki. Si unaona washamtosa Mwakiembe uchukuzi kisa anawabania.
 
Amani kwa wote,nimefuatilia kwa karibu ziara za katibu mkuu wa ccm mh kinana.katika ziara zake zote mh kinana anabeba ujumbe unaofanana na wapinzani ikiwemo ukosefu wa huduma bora ya afya,kukosekana uzalendo ndani ya serikali,kupinga ufisadi unaofanywa na watendaji wa serikali wakiwemo ma dc,mwaziri,wakurugenzi nk.kwa mtazamo wangu kinana anafaa kua mwenyekiti wa chama maana angekua yeye ndiye m/kiti angeweza kupambana nauozo uliomo ndani ya serikali inayoundwa na chama chake na hivyo kuwanyima hoja wapinzani.pamoja na kinana kuongea sana bado kuna tatizo la kiutekelezaji maana yeye sio sehemu ya serikali yeye sie anaye teua wakurugenzi,ma dc na mawaziri .na hili tatizo linachangiwa na mapungufu yaliyomo kwenye katiba ya ccm inayotaka rais wanchi ndiye awe mwenyekiti.kwangu mimi naona hili jambo limepitwa na wakati.ili kuongeza uwajibikaji ndani ya chama na serikali .natoa wito kubadilishwa kwa hicho kifungu ndani ya katiba ili kukinusuru chama.maana kinana anaongea maneno ambayo hata rais wa nchi hajawahi kuongea mbele ya wapiga kura kwa mfano kuwaponda mawaziri wake tena kwa majina,kwa hiyo kinana anabaki kua kama mpiga kelele asiye kuwa na lakufanya maana mamlaka ya uteuzi ndio yenye uwezo.ili kumdhibiti rais haitakiwi awe mwenyekiti wa chama kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea hata ilivyo kwa chadema.nawasilisha

HAKIka umenena VEMA, huo ndiyo ukweli ingawa wengi watakupinga kwa ushabiki lakini umesema kweli, ukimwangalia na kumsikiliza SG Kinana wa CCM utagundua kuwa anamaanisha anachosema tatizo ni kwamba hayupo kwenye nafasi ya utendaji serikalini(hata kama mtu atasema serikali si ni ya chama chake) lakini Kinana hayuko kwenye nafasi ya utendaji yeye ni SG wa chama chake tu, na ametekeleza majukumu yake kama SG, Serikali ya CCM ikitaka kuwatumikia wananchi iyafanyie kazi mambo yanayoibuliwa na ziara ya mzee Kinana
 
Pamoja na kashfa ya ufisadi inayomkabili mh. Lowasa lakini haiwezi kuuficha ukweli juu ya uchapa kazi wake na uwezo wa kufanya maamuzi magumu, nadiriki kusema kwamba baadhi ya wana ccm wanamhofia kuwa kama ataingia madarakani hatoweza kuwa-intertain, ndiyo maana wanapigilia msumari wakijidai kuwa wanamkataa kwa sababu ya kashfa hiyo. Hata hivyo Lowassa kishapata pesa kilichobaki ni status tu kuwa ni raisi wa nchi na hivyo anaweza kuchapa kazi kiukweli kulinda hadhi hiyo kuliko wengi tudhanivyo, tofauti na walio wengi ambao ni wasaka tonge na kutaka kutajirisha familiya zao.
 
12.jpg
 
Lowassa ni kiongozi sio mtawala ngoja Mungu ampe urais kupitia watanzania muone kama hii inchi itabaki ilivyo
kikwete alipewa nchi huku akijulikana ni mwizi(remember list of shame) ameongoza genge la wizi wenzake sasa nchi imechoka Kila kona.now we are talking about Lowasa,unamkabithi fisi bucha kwa assamption Kuwa ameshiba,sijui lini watu wa nchi hii watakuwa serious na nchi yao
 
Kama Nape kamkubali EL basi Kondakta atafuta kauli zake za mwanzo na kumpamba ili kujiwekea mazingira salama
 
Hiki chama cha mapibduzi kina hitaji kuombewa, maana kila siku kauli za viongozi wao zinatofautiana. Kama Lowasa ni safi!!! Hiki jifungo cha Chama anachotumikia ni cha nini?? Nape huyu huyu wa jana Monduli aliwahi kusema Lowasa siosafi na hawezi kuwa rais. Maana wanataka mtu safi na sio mtu wa kuosha. Sasa ni lini Lowasa kajiosha???????
 
.....

....so tembo waendelee kunyofolewa meno Mkungunero kunamajangili sana !!!!
 
“Mfano ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye anafanya kazi ya kuzunguka nchi nzima na maeneo mengine wakati mizunguko yake haisaidii kuondoa matatizo ya wananchi.”
Kwa maneo hayo ya Kinerner anampiga dongo hata Vasco Da Gamma.
Soma between the LINES
 
Nchi inahtaji kiongoz shupavu,jasir ktk maamuz yake pia mwenye kutenda/kutekeleza anachokisea El sifa hizo anazo na anaweza mie sio mwnasiasa ila mwaka huu kura yangu ntapiga kwa Lowassa
 
Back
Top Bottom