Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

Nafikiri tatizo la hawa watu liko kwao wenyewe..

Wamezungukwa na mitaji hawatumia..mfano mashamba na mifugo

Kama mmasai ana ng'ombe 100 hataki kujenga, kuvaa na kula vizuri utamfanyaje?
 
Dah naomba niwe hai mpaka ili genge la wezi (ccm) litakapotoka madarakani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nafikiri tatizo la hawa watu liko kwao wenyewe..

Wamezungukwa na mitaji hawatumia..mfano mashamba na mifugo

Kama mmasai ana ng'ombe 100 hataki kujenga, kuvaa na kula vizuri utamfanyaje?

..watu wa aina hiyo wanatakiwa kupewa ELIMU.

..serikali inatakiwa iwaelimishe kuhusu ufugaji wa kisasa, na kuweka mazingira mazuri ya masoko/minada ya mifugo.

..nchi hii ni ya 3 Afrika kwa kuwa na mifugo mingi,lakini ukweli huo haujionyeshi ktk uzalishaji wa nyama, maziwa,na bidhaa za ngozi.

..WE HAVE A LEADERSHIP PROBLEM.
 
Kinana ni mkweli na mchapakazi sana, hawezi Kiki vanishes na wanasiasa ka Mbowe, Slaa hata kwa robo ya ufanisi ktk uongozi. SACCOS tu isiyokuwa na dola imewashinda Matokeo take wameamua kuitafuna wao wenyewe, mara mil. 900 , mara mil. 140 kujikopesha, mara Magari nakuuliza kukiuzia Chama, mara mamilioni ya SABODO, mara mamilioni ya Nimrod Mkono, mara mamilioni ya wafadhili Wa Ujeruman
 
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

mbona siku hizi anaonekana amechoka sana

Mizigo imemchosha?
 
Nguo zilivyo nyingi duniani na hata Mitumba kibao na kwa bei chee, ila bado mtu hawezi kumvalisha mtoto wake?

Yaani hata Majirani hawawezi kumpa huyu kijana nguo ili asininginize MALI zake nje?

Hii inauma sana aisee. Tanzania haitakiwi kabisa mtu atembee uchi wa MNYAMA.

SHAME ON YOU KINANA na wenzako wote mnaopiga propaganda wakati mkiishi peponi na kuwaacha hawa UCHI.

313994_142583219212767_1975668543_n.jpg
Halafu hizo sura mbona hazifanani na za kitanzania?
 
Sijamuelewa huyu mzee, anataka tumuamini yeye JANGIRI wa wanyama wetu? au mafisadi waliojazana kwenye chama chake?
 
Mkuu, wananchi makini wameshazinduka na sasa hawasikilizi tena udaku wa CHADEMA

Upi sasa Udaku? Kinana hana uwezo wa kutuambia tuipuuze Chadema!

Ingekua vema zaidi km tungempuuza yeye na Ccm yake kwanza kwa kushindwa kusimamia kauli yake ya MAWAZIRI MIZIGO!

Leo akitujia na NGONJERA za CDM hatuwezi kumuelewa kabisa. Tuipuuze Cdm kwa makosa gani?

Jamani Wasengelenyuma muwe na kumbukumbu kabla ya kupost ujinga km huu!
 
Sioni kama itakuwa rahisi kwa wananchi kupuuza ukweli wanao uona, ukweli kuhusu maisha yao. Unaweza ukawa una njaa mtu akaja kukuambia una njaa ukampuuza kweli? Sidhani kama ni rahisi hivyo hayo anayosema huyo mtu,
Ni kweli kabisa huwezi kumpuuza mtu anayekuja kwako na kukuambia una njaa wakati kweli una njaa lakini vile vile utamshangaa sana huyu mtu akikuambia tu kuwa una njaa wakati unafahamu tayari kuwa una njaa lakini kikubwa kabisa, utamshangaa sana akisema na kuondoka bila kukuelezea njia ambayo yeye imemfanya akagundua kuwa una njaa na pia njia za kukufanya usipate njaa tena.

Haitoshi tu kuwaeleza wananchi kuwa maisha yao ni magumu bila kuelezea kwa ufasaha na kuonyesha kwa mifano halisia namna ya kuondokana na hali hiyo ya kimaisha hasa ikichukuliwa kuwa kwa sasa wananchi wengi hawaoni kama mazingira waliyopo ni tatizo kwa maana nyingine wamekuwa masikini tajiri au sugu.
 
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

Kinana ni Jemedari. Anaongea ukweli daima na haogopi mtu. Big Up sana. 2015 wataisoma namba

Kama una hoja ya maana unaweza kumpuuza. ila kama huna hoja endelea kuumia tu

Mkuu, wananchi makini wameshazinduka na sasa hawasikilizi tena udaku wa CHADEMA

Mtu ALIYEPUUZWA leo hii anahasisha wengine wapuuze wengine, nafikiri ni vema huyo Katibu wenu angejitafakari kwanza juu ya yeye KUPUUZWA na Kikwete juu ya ile kauli yake ya MAWAZIRI MIZIGO ambao hawakuondolewa kama wao walivyotaka na inatakiwa ifahamike ANAYEPUUZWA YEYE NI MPUUZI.
 
Mkuu, kwenye hiyo mikutano si kila anayeenda ni mwana chadema. Kuna wana ccm kibao ambao wapo kistrategy zaidi

Strategy za Kulipua mabomu na kuchunguza watumishi wa Serikali waliopo ili kuwaripoti kwa viongozi wenu ili wawajibishwe eti wanashabikia upinzani kwani ndiyo mambo yanayofanyika na hakuna zaidi ya hilo.
 
Back
Top Bottom