Kinana awakera mawaziri, baadhi wapanga kumkwepa!

Kwani Mhariri Mkuu si mtu wenu? Anaitwa Kibanda na ni kibaraka mkuu wa Kinana.Kwa hiyo ukiona habari hii imepitishwa na kibaraka wa Kinana iandikwe ni lazima iwe kweli 100%

Kibanda hayuko tena pale T.daima - jana aliripoti New Habari! Ni Ngurumo huyo -- Kamanda mkubwa wa CDM ndani ya waandishi na Mbunge mtarajiwa!
 
Magamba hawana cha kuwaambia wananchi, ndio maana mawaziri wao wanazomewa. Mawaziri wachache sana wanaoweza kusimama kifua mbele na wasizomewe. Mfano Jembe Pombe Magufuli (tumembadilisha jina)

Hata huyo ni msanii na laghai tu na mshiriki mkubwa wa wizi. Alishirikiana na Mkapa kuuza nyumba za serikali na yeye kuna baadhi ya nyumba aliwauzia jamaa zake baada ya ku-employ serikalini. Hakuna waziri jembe ktk serikali ya magamba wote na wachumia tumbo.
 
Kwani Mhariri Mkuu si mtu wenu? Anaitwa Kibanda na ni kibaraka mkuu wa Kinana.Kwa hiyo ukiona habari hii imepitishwa na kibaraka wa Kinana iandikwe ni lazima iwe kweli 100%

una maanisha Gazeti la mbowe limenunuliwa na Kinana? Kweli mchaga kwenye Pesa hadhaminiki! Sasa pesa za M4C zipo sawia?
 

Baadhi wanaona kwamba mbinu hiyo haitawasaidia kisiasa, hasa katika majimbo yao, kutokana na kero nyingi zinazowakabili wananchi wao, huku wapinzani wakizitumia kama mtaji wa kisiasa hali ambayo imesababisha kuzomewa mara kwa mara.




Tumeshatoa ANGALIZO :


WIZI WA FEDHA ZA UMMA.... via CCM... KUTUMIA MGONGO WA KUPAMBANA NA CHADEMA!!!


Asanteni mawaziri kuungana nasi wapambanaji GOMENI KABISA..... JANGILI..... likiwalazimisha VUENI MAGAMBA NA MRUDI MAJIMBONI MWENU KUWAELEZA UKWELI WANAINCHI .....KABLA YA KIMBUNGA M4C HAKIJAFIKA JIMBONI MWAKO!!!
 
Hapo Namuunga MKONO KINANA; Utamu wa UWAZIRI sio kukaa OFISINI kubebwa na GARI zuri, UNAIBA TARATIBU na KITUMBO HICHO KINATOKA BILA BUGHUDHA...

LAZIMA MTOKE JASHO MUONE MAENEO ya NCHI yalivyo NYUMA KIMAENDELEO; Na MJIBU Mawali kwa Wananchi SIO BUNGENI Mnawaachia Manaibu Wenu; na SPIKA...
 
377057_272263239496522_1491237210_n.jpg
 
Hapo Namuunga MKONO KINANA; Utamu wa UWAZIRI sio kukaa OFISINI kubebwa na GARI zuri, UNAIBA TARATIBU na KITUMBO HICHO KINATOKA BILA BUGHUDHA...

LAZIMA MTOKE JASHO MUONE MAENEO ya NCHI yalivyo NYUMA KIMAENDELEO; Na MJIBU Mawali kwa Wananchi SIO BUNGENI Mnawaachia Manaibu Wenu; na SPIKA...

Mkuu, hao wafanye hayo kwa gharama (cost) ya nani? CCM au kodi zetu?

Na pia kuna tofauti ya kisheria, kiufundi na kimantiki; Waziri sio mtaalam (kwani sio lazima awe mtaalam wa Wizara anayoingoza), yeye ni mteule wa kisiasa tu.

Umenisoma?
 
Kinana kweli anaweza kuikoa CCM kama atatumia njia hii ya kuwaburuza mawaziri na kuwaleta mbele ya wananchi ili wajibu kero zilizopo. Naomba CCM na serikali imsaidie Kinana kufanikisha hili zoezi ipasavyo.
 
Huhitaji kuwa na PHD kujua mkakati wa Kinana kutembeza mawaziri nchini utaleta msuguano. Kwa sasa ni kama kuna cabinet mbili - moja ya Magogoni na nyingine ya Lumumba. Na kila ndani ya cabinet kuna vijikundi vidogo vinavyokinzana. Kinana alitakiwa aanze na Lumumba kwanza kabla hajarukia huku nje. Tanzania ya leo including CCM ya leo ni tofauti sana.
 
Mkuu, hao wafanye hayo kwa gharama (cost) ya nani? CCM au kodi zetu?

Na pia kuna tofauti ya kisheria, kiufundi na kimantiki; Waziri sio mtaalam (kwani sio lazima awe mtaalam wa Wizara anayoingoza), yeye ni mteule wa kisiasa tu.

Umenisoma?

Afadhali WAKIWA MIKOANI wakizomewa na WANANCHI; Hawakai OFISINI KUPANGA AJENDA na PLANS za KUFISADI NCHI Unajua WATU wanaokaa tuu OFISINI BILA cha KUFANYA wanaWaza SANA na MAWAZO yao MENGI yanaangukia UH ningekuwa na NYUMA kama HII Mawazoni ningefurahi; NI BORA wahangaishwe MIKOANI kuliko KUFUNDA OFISINI...

Kweli Umeiona SERIKALI ya CCM kuwa na HURUMA na KODI za WANANCHI? Wasinge waacha bila UMEME wa UHAKIKA; KAZI; BARABARA na kuacha kukopa WACHINA...
 
Mkuu naona hapo Mh.Kinana kabuni a very effective strategy - litakuwa chujio la kuwaona viongozi goigoi ambao hawatimizi wajibu wao kikamirifu. Kama kiongozi anajiamini kwamba ana ufatiliaji mkubwa wa kazi zake, kwa nini hawe na wasi wasi wa kuandamana na Mh. KINANA - ukiona anasepa/kuingia mitini kwa kutoa visingizio lukuki basi ujuwe huyo nafasi ya Uongozi alipatiwa kwa kubahatisha, nakumbuka the late Rais Kambarage aliwahi kufuatwa na Waziri fulani aliye teuliwa akamwambia "Mwalimu mimi nafikili wengine huwa unatutehua kuwa Mawaziri/PS kwa kubahatisha" katika hilo sijuhi kama JK ana tofauti kubwa na Baba wa Taifa after all wote ni binadamu siyo malahika.

Mimi ningekuwa JK basi hii ziara ya Mh.KINANA kuzunguka nchi nzima ingenipa a very rare opportunity ya kuwapima Viongozi in "REAL TIME" wakiojiwa LIVE, maanake sehemu kama hile Kiongozi husika hana mahali pa kukimbilia/kujificha!!! Na kwa kawaida RAIA ambao hawana maslahi yoyote na kiongozi husika kuwepo kwake madarakani raia huwa wana uliza maswali yenye mshiko sana na ya kujenga; hawaogopi mtu au kuwa wazabazabina; swali lolote wanalo uliza ujuwe ni la kweli na wanaona kero kwa mambo kutoenda vizuri, ingawa raia wengi hawajasoma sana (kielimu) lakini wana maswali ya msingi na huwa na kawaida ya kutoa ushauri mzuri.

JK akumbuke kwenye grassroot ndio mahali pa kupata picha kamili mambo yanavyo endeshwa nchini, kwenye ngazi za juu hawezai kupata picha kamili watamwambia mambo ya kumfurahisha tu na mengine ambayo hayana ukweli wowote. Baba wa Taifa alikuwa na kawaida ya kucheza bao na wazee wa mjini, wazee wale ndio walikuwa wanamwambia ukweli bila woga au kutaka kumfurahisha, hao tunaweza kuwa-equate na raia wanao kuja kuhudhulia mikutano ya Mh.Kinana - watasema ukweli mtupu.

Rais awasikilize wanavyo jibu kero za wana nchi wanapo banwa na maswali wakiwa majukwaani - Viongozi wababaishaji wasio fatilia mambo watadhilika, hiyo ndio ingempa nguvu RAIS za kufanya reshuffle kabambe Serikalini na kuwatehua/ kuwaweka wengine ambao wako committed 100% kumsaidia kuendesha nchi kiufanisi, Bravo Commander KINANA kwa kuona mbali.
 
Hii inatokana na JK kuwaambai makada wa CCM waachane na mbeleko za polisi wajibu hoja za upinzani, hasa wizi na ufisadi. Matokeao yake ndo haya! CCM mtakwepa kujibu hoja za wizi na ufisadi hadi lini?
 
Back
Top Bottom