Hili neno Mheshimiwa sasa linatumika vibaya.
Ama tulifute kabisa kulitumia au tupeane semina elekezi nani anastahili kuitwa hivi
MKUU hapa naona kuna kutokuelewa maana ya "... Chama tawala CCM kuisimamia serikali yake...". Katibu mkuu KINANA hana mamlaka ya kuiagiza serikali, kwa kisingizio cha chama kusimamia serikali. CCM kuisimaia serikali siyo kupitia mtu mmoja mmoja, bali vikao:mkutano mkuu, NEC & CC, hivi vina mamlaka ya kuisimamia serikali siyo KINANA mkuu, tunapaswa kuelewa hili. Jambo hili ni sawa na BUNGE kusimamia serikali: MBUNGE mmoja mmoja hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa serikali, bali MBUNGE (SOMA IBARA 63 ya KATIBA TZ 1977).
NAKUMBUKA alipoingia Sec Gen MKAMA naye alizunguka nchi nzima na kutoa ahadi "mpya kabisa" na kukoromea serikali, aliitwa na kuambiwa anakosea na akapotelea kusikojulikana. MOJA ya ahadi za MKAMA ni kujenga hospitali ya RUFAA eneo la Kwangwa MUSOMA , yenye pia na chuo kikuu cha afya kama MUHIMBILI, MJINI MUSOMA, na akasema isipojengwa hadi 2015 basi CCM isichaguliwe ... TUNASUBILIA TUONE. KINANA naye anapita mle2, haya bwana: naona hawajajua kuwa CHAMA KUSHIKA HATAMU ILISHAKWISHA ZAMAAAAAAAAAAAAANI ...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Abdurahaman Kinana anazungumza katika wilaya ya Sumbawanga Mjini ambako amezungumzia juu ya suala la kero za Usafiri na Barabara, ambapo amesema tayari serikali imeshatenga fedha ya kutosha kwa ajili ya barabara hiyo ambapo tayari baadhi ya makandarasi wanaendelea na ujenzi wa makaravati tayari kwa kuendelea na ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami.
Pia Mheshimiwa kinana amezungumza juu ya suala la Uhifadhi wa mazingira ambapo amewataka wachina ambao wanaendesha zoezi la uchimbaji wa madini katika mbuga ya katavi kuondoka mara moja katika hifadhi hiyo na kusisitiza kuwa suala la uhifadhi wa mazingira ni jambo muhimu na kimsingi linaendana na siasa ya CCM ya kupambana na umasikini, alisema " Moja kati ya malengo na maudhui ya CCM ni kuona kwamba matumizi ya utajiri wa taifa yanatilia mkazo maendeleo ya wananchi na hasa jitihada za kuondoa Umasikini, Ujinga na Maradhi" alimalizia kueleza kuwa Mazingira ni nyenzo muhimu ya maendeleo na suala mtambuka, ambalo linagusa sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii.
Kisha Mheshimiwa Kinana alizungumza juu ya suala la uwezeshaji wa wananchi kiuchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa kisasa wa Taifa linalojitegemea hasa kutokana na rasilimali zetu akisisitizia zaidi juu suala la kilimo na utekelezaji wa sera ya kilimo kwanza. Akahimiza vijana kuchakalika na kutumia kikamilifu fursa ya kijiografia ya sumbawanga ambapo hupata mvua nyingi na ya kutosha.
Hivi sasa Mheshimiwa Nape Nnauye, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya itikadi na Uenezi anashambua jukwaa...,updates zaidi hivi punde...!

Unakosea na unasahau nafasi ya Kinana katika Chama Cha Mapinduzi.,maagizo ya vikao vya chama, mkutano mkuu wa chama na sekretarieti zinaratibiwa na huyo bwana nae ndie mwenye wajibu wa kuyasema na kuyabeba maagizo ya Chama kwa serikali, lakini pia kuwaeleza wananchi maagizo hayo ya Chama kwa serikali na pia kuwaeleza serikali bayana kuwa maagizo hayo ni lazima yatekelezwa kama yalivyoainishwa katika ilani na sera za CCM.
Mind U.,maagizo haya si ya Kinana, na ndio maana katika kauli yake ameeleza bayana kuwa " "Moja kati ya malengo na maudhui ya CCM ni kuona kwamba matumizi ya utajiri wa taifa yanatilia mkazo maendeleo ya wananchi na hasa jitihada za kuondoa Umasikini, Ujinga na Maradhi" akimaanisha kuwa hayo ni maagizo yanayotokana na CCM wala si kinana kama yeye. Bahati mbaya ya walio wengi ni kuwa wanashindwa kuielewa nafasi ya Chama Kwa serikali na nafasi ya serikali kwa wananchi...!
Ameeleza pia juu ya mwelekeo wa sera za CCM katika miaka ya 2010 hadi 2020, na kutoa ufafanuzi wa kutosha katika baadhi ya masuala muhimu yanayoigusa jamii hiyo likiwemo suala la ardhi.
Tupia picha mkuu...
Unajikanyaga tu kwa sabbu lengo lako lilikuwa watu wahisi wote ni wenyeviti na wote ni wachaga, ni sawa na mpumbavu mmoja ajitokeze achukue majina ya mawaziri na manaibu wakristo tu aende kijijini wasiko na acces ya kujua mawaziri wa nchi hii tena kwenye hadhara ya waislamu na akaseme hii ndio serikali ya tanzania!! Unadhani atakuwa ametenda haki? Huna utetezi mi nakuona m2 wa hovyo tu..Kimsingi hakuna aliyejitokeza kupinga kuwa wale hawakuwa viongozi wa Chadema katika vyuo husika.,alichofanya makene ni kutaja majina ya viongozi wengine wakiwemo wenyeviti, makatibu, waenezi na watunza fedha na hakukanusha kuwa orodha ile si ya viongozi wa chadema vyuoni bali alisema miongoni mwao si wenyeviti bali hakusema si viongozi.,naomba ufahamu hivyo. Hakuna upotoshaji juu ya jambo hilo.
Huku ni sumbawanga, majira ya huku ni tofauti.,bado ni kweupe na mkutano unaendelea ila karibu utafungwa kwani hivi sasa anaongea mzungumzaji wa mwisho.