Kinana aunguruma Sumbawanga, sasa hivi...!

Kinana aunguruma Sumbawanga, sasa hivi...!

Hili neno Mheshimiwa sasa linatumika vibaya.

Ama tulifute kabisa kulitumia au tupeane semina elekezi nani anastahili kuitwa hivi
Zamani tulikuwa tunaitana ndugu kabla hatujavamiwa na ufisadi wa kutisha. Sasa kuna waheshimiwa wanaokula nchi na wasio waheshimiwa wanaoliwa na kudanganywa! Heri wake wanaoitana KAMANDA!
 
Hili neno Mheshimiwa sasa linatumika vibaya.

Ama tulifute kabisa kulitumia au tupeane semina elekezi nani anastahili kuitwa hivi

Mimi naona Slaa peke yake aitwe Mheshimiwa na wengine wote tuitane Ndugu Waheshimiwa!
 
Mimi naona Slaa peke yake aitwe Mheshimiwa na wengine wote tuitane Ndugu Waheshimiwa!
Hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya lugha mheshimiwa anayevunja nyumba za watu hatumuihitaji.
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom