Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Kama kina kufa kwa kasi ya kutisha, ni vipi wamekuwa mabingwa wa kubambikia kesi viongozi wa CHADEMA? Yeye aseme kwamba wanalazimika kuiua CHADEMA ili iwe salama yao. Vinginevyo anajua nini kitakacho fuata pindi CHADEMA ikitwaa madaraka ya kuongoza Tanganyika.

Itabidi ajisalimishe HARGEISA!!!!

Kwanza huna uhakika wowote kuhusu hayo maneno ambayo inasemekana ameyasema, Huu ni uleule uongo wa wana CDM, Nandugu Yeye Akikimbilia Hargeisa wewe kwenu ni wapi, Hebu kajitafiti vizuri na utaona kuwa hata wewe sio Mtanzania Halisi bali wahenga wako migrated to tanzania>
 
kinana alikuwa amekaribia kustaafu jk alipoona kwa nini astaafu akiwa msafi wakati sio msafi vile, akamvuta nae aingie ulingoni achafuke walao kidogo. jk mjanja sana, sasa anachekelea moyoni, wenzio waogelee topeni wewe ukajitie msafi! ccm yetu hii kuja uchafuke kwanza ndio ustaafu, chezea jk wewe
 
Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa CCM ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

MIMI SIMPENDI KWA UJANGILI WAKE LAKINI KWA HILI AMEJISHUSHIA HADHI KABISA.......Mwana CCM aisikitikie CHADEMA?
 
Majangili bana....kama anaweza kuuwa tembo wetu ataipendaje CHADEMA?...

Madaraka matamuu, zee zima lime expire kisiasa linasema uongo hadharani?? Huyu ananikumbusha yule waziri wa habari wa Iraq wakati wanapokea kichapo toka kwa marekani alisema anawasubiri wamarekani washuke ardhi kumbe kabaki yeye na radio
 
kwenye kauli ya Jangili Kinana, mahali aliposema CHADEMA wewe weka CC ndio utajua anamaanisha nini
 
KINANA.... Tembo Specialist. Holder wa Bachelor of Poarching in Elephant Utilization, majoring in tuskers and skins..
du!!!! ama kweli yamemkuta jamaa yake bado yupo jela ama ameachiwa?
 
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea (CHADEMA) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa CCM ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka CHADEMA wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya CHADEMA lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa Njombe.

Mod wanafiki wa vichwa vya habari kama huyu hawapaswi kuvumiliwa maana wanaharibu taste ya habari
 
sasa kama tusker (KINANA) anaongea maneno hya nape atafanya kazi gani?
 
wakati anayasema hayo na Mwigulu alikuwepo?
kama alikuwepo sijui alijisikiaje?
maana mtu unaweza kudhani mwenzio anakupiga majungu kupitia kwa jirani
 
kikubwa kinana awekwe mbali na tembo wetu maana huyo ni jangili wa kimataifa (International poarcher) who can start hunting Tanzanians we have to take care.In general kinana whom I know can not bring changes in this country instead of what I've mentioned above.
 
Kwanza huna uhakika wowote kuhusu hayo maneno ambayo inasemekana ameyasema, Huu ni uleule uongo wa wana CDM, Nandugu Yeye Akikimbilia Hargeisa wewe kwenu ni wapi, Hebu kajitafiti vizuri na utaona kuwa hata wewe sio Mtanzania Halisi bali wahenga wako migrated to tanzania>

Kiongozi!

Naona NIMEKUGONGA IKULU, eti? Wala sina haja ya kujitafiti. WAJIHI WANGU unanipa kujiamini, maana sifanana nanyi! Angalau hata hao ANCESTORS wangu wala hawana hata la kutiliwa wasiwasi wa uTanganyika wao ukilinganisha na ninyi.

Angekuwa mTanganyika angalau angetuonea huruma kilingana na shutuma/ yanayo semwa.

Au na wewe ndio wale wale nini?
 
chadema haitakufa kama wafikiriavyo mana we're stronger in politics than they do.Viva chadema maana magamba yanatuongezea credit kila siku na hatuatakiwi kuyshukuru maana historia inayahukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom