Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Amefanya utafiti au ndo alikuwa anajilawaza? Inaonyesha anazeeka vibaya au ana stress baada ya biashara ya meno ya tembo kuingia doa.
 
Nimeshuhudia kwenye headlines za habari za ITV jana kuhusu mkutano wao ule wa Makete wa CCM haukuwa na watu na ule wa Chadema ukatiwa kapuni na kutoonyeshwa!! waliogopa aibu!
Hawa maccm wanapishana kauli na limwenyekiti lao likikwete....maana kikwete alisema maccm yasifikiri kuwa upinzani utakufa au unakufa...upinzani unazidi kuimarika siku hadi siku.na pia maccm yasifikiri yataongeza viti vya ubunge na halmashauri nyingi....akasema wabuni miradi ya chama kuongeza pato maana ruzuku itapungua...sasa huyu tembi dentists anasema upinzani utakufa , chadema kitakufa huyu jangili wa tembo anaongea akiwa na hungover. ...yeye angenadi sera za chama chake.

Na utekelezaji wa ahadi zao hewa...aache kuinadi chadema, dr slaa, kamanda mbowe ect
Kinana aka tembo dentist amekuwa ni vuvuzela kama nape...ndio maana dr slaa akasema kinana sio size yake...maaana anaongea utumbo muda wote.jili zigo alilobebeshwa ni kubwa mno...na sijui wanamlipa pesa ngapi.mfupa alioshindwa fisi mbwa hauwezi.



Aaulize akina makamba na mkama watamuambia....yeye angebuni biadhara halali sio haramu ya ujangili wa tembo.akajopumzikia..ila mambo ya chadema yatazidi kumzeesha ma kuchoka.sera hana amebakia chadema kila siku chadema.
 
Huyu jamaa KICHWA sana,wamemchunguza sana wamemuona ni mweupe zaidi ya karatasi kwa uzalendo na uwadilifu.Sasa ni kumpaka matope tu,mwisho ya yote wamechachemka.KINANA KICHWA.
 
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea ( chadema) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa ccm ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka chadema wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya chadema lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa njombe.
Kinana anajibashiria kifo chake kisiasa na chama chake kwa ujumla,tangu lini CDM ikashuka umaarufu?CDM kwa sasa ndiyo inashika kasi,ama kweli ccm ni janga la taif,hawa viongozi wa ccm wanajifariji tu maana wanajuwa mwisho wao umefika,
 
Yani mtu yupo mapumziko hotelini anaiongelea CDM.....badala ya kufanya tathmini ya mikutano yao,mpk 2015 hawa viongozi wa CCM presha zitawatesa sana.
 
Dr Slaa ,,kwann kinana anakuogopa?!? Eti kina Ana Kazi yake ni Chadema kila kukicha badala awatimue mafisadi wenzake
 
Simple mathematics. Kama wapinzani wamepotea basi wao wajikite kuelezea sela za chama chao siyo kuwa kama makatibu waenezi wa vyama vya upinzani.
 
wananyege na upinzani hawawezi kuacha kuzungumzia upinzani haswa cdm!!!!!!!!!piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooz ,,,,watuuuuuu pawaaaaaaaaa
 
Uhai wa CCM uko kwenye majaribu makubwa tangu chama hiki kilipoundwa/azishwa.

Hivyo tusishangae viongozi wa CCM kutapata kiasi hiki kwasababu hawajawahi ku-exprience kitu cha aina hii katika maisha yao.
 
Alianza mzee wa gombe akafuata mkama sasa kinana ngoja tuone nani takua stellingi wa picha hii. Make steringi akifa n picha inaisha
 
Me namfahamu huyu jangili kinana cku mingi bhana!! Nyie mtachoka bure. Hajaanza kuiba leo. Ogopa mtu aliyepewa mashine za kufulia nguo kama msaada kwa hospitali ya mount meru arusha na badala yake akaenda kufungua biashara ya kufua yeye mwenyewe. Ni mtu huyo?? Hiyo mikakati waliyoipanga ya kusambaratisha chadema 2014 wameshafeli. Chadema ni chafuo la mungu kwa watanzania. Mungu si kipofu. Mwisho wake na wenzake pia umefika.
 
Majangili bana....kama anaweza kuuwa tembo wetu ataipendaje chadema?...
8043573027_947ae6385c_b.jpg
 
2010 alisema maneno hayo hayo alisema kikwete atapita kwa kula asilimia 99% matokeo yake wakajikita kufoji matokeo kwa wiki nzima ndio kutangaza na kutoka na 61% sasa wale ambao hawakwwenda kupiga kura 2010 watatoka 2015 na ndipo pigo la chama chake kitakapotambua maamuzi ya wananchi
 
Nimeshuhudia kwenye headlines za habari za ITV jana kuhusu mkutano wao ule wa Makete wa CCM haukuwa na watu na ule wa Chadema ukatiwa kapuni na kutoonyeshwa!! waliogopa aibu!
kila jambo kwenu uzushi tu sijui muwekwe shimo gani nyie majitu
 
yani hata mlete picha ya kinana ndio ameshika bastola mwenyewe akiuwa huyo tembo hatutoki ccm ng'oo
You cant....upo wodini, wagonjwa hawatoki Wodini mpaka wapone...hasa wagonjwa wa KICHAA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom