Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

Status
Not open for further replies.
Kuna habari humu kwamba bajeti yao ya 4 billion kwa fiscal year 2016/2017 hawajapewa huku ikiwa imebaki miezi miwili tu kwa mwaka wa fedha kukatika. Sijui wanajiendesaje!?

???
Muhimbili ipo vizuri, mke, mama au dada n.k. wanatibiwa hapo
 
Ngoja tumsubiri Dada Mange
Ni aibu kubwa na fedheha kwa MTU mwenye akili timamu kumkabidhi chizi jukumu la kufikiri kwaniaba yake!

Are u serious!! According to this Idiot I can say Jf is not the home of GT.
 
Kuna habari humu kwamba bajeti yao ya 4 billion kwa fiscal year 2016/2017 hawajapewa huku ikiwa imebaki miezi miwili tu kwa mwaka wa fedha kukatika. Sijui wanajiendesaje!?
Tutatuma baadhi wakatibiwe India, lakini wake zetu watatibiwa Muhimbili

Mkuu bajeti ya Muhimbili inakuhusu nini kwi kwi, ukiugua tutakutuma India au South, mke wako atatibiwa Muhimbili, ushanfaham! Tujadili maendeleo sasa
 
Picha zenyewe kutoka kwa mange?

Hahahahahha.... Wapinzani wa magufuli ni mambumbumbu mno!

Unamjua Mbumbumbu wewe?? Kama hujui basi kamsikilize Ney wa Mitego.Wale wanaogombea kiki na front page za Magazetini au ITV.
 
Reactions: BAK
Haya ka.kojo.e ulale tumekusikia
 
Medium rare tena heri ingekuwa med to well ningejitahidi kula,post kama hizi zisizo na ushaidi ndizo zinazomfanya mkulu aseme watu wa mitandaoni ni wa hovyo hovyo huenda sometime he is right
Hawezi kuwa sawa akisema watu wa mitandaoni ni wa hivyo hovyo, hata wafanyakazi na wateule wake wapo humu! Ni stress tu zinamsumbua" haamini hata sheria zilizopo. Halafu jaribu kufuatilia utaona sasaivi watu wanaiandika serekali na mkuu vibaya zaidi....lakini ile kamatakamata haipo kama mwanzoni! Kaona hawezi nyamazisha watu kwa kuwakamata, bora aifungie mitandao lakini kwenye cm tulizonunua kwa pesa zetu wenyewe...#asitupangie#
 
Ni aibu kubwa na fedheha kwa MTU mwenye akili timamu kumkabidhi chizi jukumu la kufikiri kwaniaba yake!

Are u serious!! According to this Idiot I can say Jf is not the home of GT.
Naona ulicjopendezewa ni sura ya huyo Binti.

Uzuri hakuna cha uongo alichosema mpaka sasa.Binti kawaacha uchi.
 
Sawa Mkuu nimekuelewa lol!

Tutatuma baadhi wakatibiwe India, lakini wake zetu watatibiwa Muhimbili

Mkuu bajeti ya Muhimbili inakuhusu nini kwi kwi, ukiugua tutakutuma India au South, mke wako atatibiwa Mhuimbili, ushanfahamu! Tujadili maendeleo sasa
 
Hii mambo ya uwongo acheni.Nakumbuka yule kijana na ile story ya mjeshi.Nawashauri tujadili maendeleo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…