Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

Status
Not open for further replies.
hivi mtu unatumwaje ukatibiwe? ni ugonjwa gani huo ulikuwa unamkera mkuu hadi akamuamrisha akatibiwe? kuna maajabu jamani
Ugonjwa wakutaka kuzungumza na wana habari ndomana mkuu akamtuma akatibiwe akija hapa akae mbali na wana habariii[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Na mm naomba nitumwe kutibiwa japo siumwi ila nitapona tu. Teeeh
 
Je,mtu anatakiwa kutumwa Hospital au anatakiwa aende mwenyewe? Ni swali tu...
 
Mmh miaka ya leo unaweza pewa picha mtu anakula bata kumbe anaozea lupango,chezea photoshop wewe!
 
Mmeanza kumtumia information za Uongo ili aumbuke... Sasa Kwa taarifa yenu ameshawashtukia.... Jipangeni
 
Hivi nyinyi maisha yenu kila siku yanafatiliwa na nani mbona ulimbukeni umewazidi kiasi hiki? Mnaishi kwa kuangaliana fulani kala nini kavaa nini as if kuna kitu mtakipata katika maisha yenu. Hizi tabia waachieni wake wenza wenu, kama ni wanaume anzeni kuvaa bikini ili muolewe
 
Kwa hiyo Mkuu katudanganya tena kwa kusema kamtuma akatibiwe India kumbe yuko UK anakula bata?
Mtu mzima unamtuma kutibiwa,haingii akilini.
Labda angesema amempa ruksa ya kwenda kutibiwa.
 
Haya nyumbu mange kawalisha tango pori
She has stood as the voice representing free speech... I don't condone what she is and what she writes and I don't follow her...but you can't hate people by saying things you don't like...particularly when between the lines they are telling the truth
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…