Kinana anataka kutuambia nini hapa?

Kinana anataka kutuambia nini hapa?

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Hapa Kinana anataka kutuambia nini katika picha hii? Ni viatu vimembana ameamua kutembea pekupeku?

Kinana.jpg
 
kwamba anapenda maendeleo...... na yupo karibu na maskini watanganyika wanaowaibia...!
 
Hiyo sehemu ni wapi?
It's so beautiful, samahani mleta mada.
 
Hahaaa eti yupo sawa na masikini huku jioni anapiga simu kuuliza habari ya bilion ngapi zimeingia katka bandari yke ya nchi kavu, Meli zake nk. Huu ni ujinga wapeni wananchi maisha bora.
 
Hiyo sehemu ni wapi?
It's so beautiful, samahani mleta mada.

vipi umependa huo mchanga au? inaonekana wewe fundi ujenzi. hebu tuambie ukweli nini kimekuvutia hapo ndo tukwambie kuwa ni wapi!!
 
a big pretender of all time showing to us that while his illegal dealings becoming more and more successful and unquestionably, there is a tremendous number of natives still walking on foot and with their feet naked and unprotected.
 
vipi umependa huo mchanga au? Inaonekana wewe fundi ujenzi. Hebu tuambie ukweli nini kimekuvutia hapo ndo tukwambie kuwa ni wapi!!
ningejenga crib hapo. Hiyo prime area, sema wabongo hatujui nini tunacho.
Unaweza fananisha hapo na mtaa wa samora? .... Acha ushamba.
 
Kutakuwa na mbuga ya wanyama karibu hapo, vinginevyo anawafanyia kiinimacho walalahoi
 
Minafiki tu. Unafiki ndo unawasumbua!~
 
Back
Top Bottom