jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Ulizuka mjadala mreeeefu na mkali kuhusu dili la kupiga hela fasta, kati ya pembe na mikataba, kinana akitetea kwa nguvu zake zote kuwa mambo yote PEMBE, mwisho wa siku jk akajikuta anatishia kwa kusema "mtu huyo akiwa na mapembe tutayakata" ni baada ya kuhakikishiwa soko tailendiiiii!!!!!!! na usafiri wa uhakika wa meli.