Bila hofu ya upinzani(CHADEMA) wangesema hayo!
Akili yako inafanana na miherufi yako
Haiwezekani labda mmemtafsiri vibayaKATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYWA NA KINANA MBEYA AKIWA ANAHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI HUKO,KINANA AMEKIrI KWAAMBA CCM WAMEFANYA WIZI WA AINA YAKE KATIKA RASLIMARI ZA UMAA NA UFUJAJI WA PESA ZA UMMA,NA AMEMALIZIA AKISEMA KWAMBA KAMA CCM ISINGEFANYA MATKIO HAYO BASI TUNGEKUWA NA MAENDELEO MARA NNE YA HAyA TULIYONAYO SASA.SOURCE ITV
...ukionaivo ujue kuna mzigo upo njiani...Hata me nashangaa hajakili kwamba huwa anaiba pembe zetu
ni kweli mkuu huwa amekua akikiri jambo hilo mara nyingi, na marazote amekuwa akizima microphone kukataza waandishi wasirekodi kile anachozungumza, japo lengo lake kuu, linakuwa kuwataka na kuwaasa wanachama hasa vijana wasiwaige wao wa kianalogia. hili ndo jembe la kaskazini huwa halipendi unafiki kwenye mikutano yake. ukimsikiza unajikuta unamweshimu mno na kumpenda.for Real!!aache kutuzuga