Kinana amekiri kwamba ccm ni wezi

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
154
KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYWA NA KINANA MBEYA AKIWA ANAHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI HUKO,KINANA AMEKIrI KWAAMBA CCM WAMEFANYA WIZI WA AINA YAKE KATIKA RASLIMARI ZA UMAA NA UFUJAJI WA PESA ZA UMMA,NA AMEMALIZIA AKISEMA KWAMBA KAMA CCM ISINGEFANYA MATKIO HAYO BASI TUNGEKUWA NA MAENDELEO MARA NNE YA HAyA TULIYONAYO SASA.SOURCE ITV
 
Hilo linajulikana mbona..ye mwenyewe si jangili? Ccm ni kichaka cha wapiga dili..
 
Chadema ni chama makini kisingesema hayo kwa sababu hakiwezi kutenda matukio haya.
 
sasa anataka tuendelee kuwapa awamu nyingine waendelee kutuibia, au anataka kimalizia vilivyopo ndo waachie madaraka. maccm bhana..
 
KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYWA NA KINANA MBEYA AKIWA ANAHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI HUKO,KINANA AMEKIrI KWAAMBA CCM WAMEFANYA WIZI WA AINA YAKE KATIKA RASLIMARI ZA UMAA NA UFUJAJI WA PESA ZA UMMA,NA AMEMALIZIA AKISEMA KWAMBA KAMA CCM ISINGEFANYA MATKIO HAYO BASI TUNGEKUWA NA MAENDELEO MARA NNE YA HAyA TULIYONAYO SASA.SOURCE ITV
Haiwezekani labda mmemtafsiri vibaya
 
Eti anajua ccm imetenda mabaya mengi!! Sisi tuliopevuka kifikra tunaja, tatizo kuna mazuzu yanawatetea hawa majangili, mafisadi, na wauza dawa za kulevya.. Ukitaka kupiga dili kubwa kubwa penda ccm!!
 
Huyu anastahili kitanzi tu. Tembo kwa 73% wamepungua na source yote ni yeye halafu bado anasema nini!
Huku tunakoelekea nawaambia tuna wafungwa watarajiwa wengi sana! Waendelee kujipa moyo tu ila 2015 tutajua mbivu na mbichi.
 
Mimi mwenyewe nimemsikia tena ameanza kwa kuwaomba radhi wananchi kwakuwa ccm wamewaibia sana.........
 
aache kutuzuga
ni kweli mkuu huwa amekua akikiri jambo hilo mara nyingi, na marazote amekuwa akizima microphone kukataza waandishi wasirekodi kile anachozungumza, japo lengo lake kuu, linakuwa kuwataka na kuwaasa wanachama hasa vijana wasiwaige wao wa kianalogia. hili ndo jembe la kaskazini huwa halipendi unafiki kwenye mikutano yake. ukimsikiza unajikuta unamweshimu mno na kumpenda.for Real!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom