Kinana amekiri kwamba ccm ni wezi

Sekali ya CCM imejikita zaidi kwenye mambo ya wizi na ufisadi ndiyo maana Kinana na Nape wanashindwa kueleza mambo mazuri yaliyofanywa na serekali ya CCM kama walivyoelekezwa na mwenyekiti wao matokeo yake wamejikuta wanatumia muda wao mwingi kuishambulia serekali yao majukwaani na kuwataja waziwazi baadhi ya mawaziri kuwa hawafai wanatakiwa wajiuzuru.
 
ni kweli mkuu huwa amekua akiri hilo, na marazote amekuwa akizima microphone kukataza waandishi wasirekodi kile anachozungumza, japo lengo lake linakuwa kuwataka wanachama hasa vijana wasiwaige wao wa kianalogia. hili ndo jembe la kaskazini huwa halipendi unafiki kwenye mikutano yake. ukimsikiza unajikuta unamweshimu mno na kumpenda.for Real!!
sasana yeye mbona jambazi?
 
KATIKA MKUTANO ULIOKUWA UKIFANYWA NA KINANA MBEYA AKIWA ANAHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI HUKO,KINANA AMEKIrI KWAAMBA CCM WAMEFANYA WIZI WA AINA YAKE KATIKA RASLIMARI ZA UMAA NA UFUJAJI WA PESA ZA UMMA,NA AMEMALIZIA AKISEMA KWAMBA KAMA CCM ISINGEFANYA MATKIO HAYO BASI TUNGEKUWA NA MAENDELEO MARA NNE YA HAyA TULIYONAYO SASA.SOURCE ITV

Wamekumbuka shuka wakati kumekucha.Wanajaribu kuwafunika wananchi kwa miwani ya mbao wakati wananchi wameshagunduwa janja yao.
 
image.jpg Wizi ni jadi yao.....alikosa haul mzee na tofali....
 
Back
Top Bottom