Ungewashauri na wale waliotajwa na Dr.Slaa, (ile list of shame),pale Temeke-Mwembeyanga nao waende mahakamani,maana kama wamesahau vile.
ndio akili yako imeishia hapo? Poor you and your master
Kwani thread yangu ni hukumu?
Taarifa ni kwamba Msigwa amefunguliwa mashtaka na bwana Kinana juu ya tuhuma zake kuwa Kinana ni jangili. Sasa kinachotakiwa mahakamani ni ushahidi na sio porojo.
Ungana na Msigwa ukathibitishe uhusika wa kinana na kufa kwa Tembo wetu.
Kama hujui tu; kwa sasa Msigwa ameiweka CHADEMA kikaangoni kwa maana huo upuuzi alikuwa akiuropoka kwa niaba ya chama chake, hivyo CHADEMA italazimika kuitoa hiyo faini endapo Kinana ataibuka kidedea kwenye hii kesi. Na ikumbukwe, lengo hapa ni kuwaonya na kuwafunza wanasiasa hasa waupinzania kuwa kuropoka kuna gharama yake.
Kwani thread yangu ni hukumu?
Taarifa ni kwamba Msigwa amefunguliwa mashtaka na bwana Kinana juu ya tuhuma zake kuwa Kinana ni jangili. Sasa kinachotakiwa mahakamani ni ushahidi na sio porojo.
Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.
Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.
Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.
Hawajasahau ila wamempuuza, maana ukiongelea list of shame bila ya Dr Slaa kuwa ndani ya list basi hiyo inakuwa sio list of shame tena, maana ni nani asiyejua vitendo vya wizi alivyofanya Dr Slaa ndani ya CHADEMA (kuanzia ule wizi wa milioni 140 mpaka ule udanganyifu wa kwenda Israel na Ujerumani na mchumba wake kwa kutumia pesa za chama).
kwahiyo ameshapandishwa mahakamani na hukumu imeshatolewa kuwa amlipe fidia? Kama bado mbona kamaunajua hakimu atahukumu nini, acha sheria ifanye kazi, umesahau kesi ya zombi?mkuu,
kwa wanasheria wataelewa hapa, kuna hii ishu inaitwa defarmation, nadhani ndio litakuwa shitaka namba moja kwa mchungaji msigwa, na utakumbuka kutokana na kashfa hiyo kuwa kinana ni jangili, ili sababisha kinana avunje makubaliana na partners wake na ili m-cost si chini ya milioni 300 pesa za tanzania. Sasa unaweza kupata picha ya hiyo fidia atakayolipa msigwa kwa kinana.
Mkuu mbona umeshatoa hukumu kabla ya Mahakama haijatoa hukumu?umejuaje kama yaliyosemwa hayana ukweli?Au umeamua kujipunguza ufahamu?Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.
Huku ni kujadili upuuzi,badala uje na habari za uhakika kwamba Msigwa amefungiliwa kesi nambari kadhaa,yenye kumtaka afanye kadhaa, wewe unakuja na urojo eti Ulimwona Msigwa na Tundu mahakamani sii ujinga huu.Mkuu, sidhani kama Kinana angukuwa na ujasiri wa kwenda mahakamani na kufungua mashtaka kwa Msigwa kama kweli angekuwa jangili au kujihusisha na vitendo hivyo kwa nama yoyote ile.
WanaJF!
Katibu mkuu wa CCM, bwana Kinana, amefanya kweli kwa kuitimiza dhamira yake ya kumpeleka mchungaji Msigwa mahakamani endapo mchungaji huyo atakaidi fursa ya kumuomba radhi bwana Kinana.
Bwana Kinana alitoa fursa hiyo ya kuombwa radhi kufuatia kuchafuliwa taswira yake kwenye jamii, baada ya kudaiwa kuwa yeye ana jihusisha na masuala ya ujangili, jambo ambalo amelikanusha vikali.
Mchungaji Msigwa ameonekana mahakamani siku ya tar 14 akiwa na mawakili Tundu Lissu na Bwana Kibatala kama watetezi wa upande wa mshtakiwa.
My take,
Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana kesi hii ya kumshtaki mchungaji Msigwa kwa tabia yake ya kuropoka ovyo ovyo. Shukrani bwana kinana kwa hatua uliyo chukua. Sasa kazi kwa Msigwa kuthibitisha tuhuma zake za ujangili kwa bwana Kinana.
Tatizo mnasahau kuwa hukohuko mahakamani ndiko watu wanakoshinda na kushindwa kesi. Msijifanye mmesahau ya ugaidi...Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.
Katika thread yako umeshasema bila shaka kuwa huyu Mchungaji ni mropokaji,ukimaanisha kuwa aliyoyasema hayana usahihi hata kidogo,mkuu wewe huwezi kuujua ukweli mbaka hapo mahakama itakapotoa hukumu!Hata kama ni mke wa Bwana kinana kamwe huwezi kujua huu ukweli,ni vema kusubiri hukumu ya mahakama!Kwani thread yangu ni hukumu?
Taarifa ni kwamba Msigwa amefunguliwa mashtaka na bwana Kinana juu ya tuhuma zake kuwa Kinana ni jangili. Sasa kinachotakiwa mahakamani ni ushahidi na sio porojo.
Mkuu haka kajamaa kameamua kujivua hufahamu!Tatizo mnasahau kuwa hukohuko mahakamani ndiko watu wanakoshinda na kushindwa kesi. Msijifanye mmesahau ya ugaidi...
Msigwa tabia ya kuropoka hajaanza leo ni kitambo tabia hii amekuwa nayo.