Kinana alipowafunga midomo wapambe wa Lowassa!

Kinana alipowafunga midomo wapambe wa Lowassa!

lisemwalo lipo,kama halipo linakuja. Acha tuongee tu,hawa jamaa wanajua kuchapana bakora tu, wametuharibia nchi kwa udhaifu wao. Kwa nn kila wakiwepo wao nchi inakuwa na madeni kibao na hatuon hizo fedha wanafanyia nn na zinapelekwa wapi na magenge yao ya ujambazi.

Mhhhhhhhhhh! mkuu mi adhani ni coincidence yatakuja kwisha usihusishe ubovu wa nchi na dini, mweeeeee! Mbona kuna wengi tunawajua wanauchungu na nchi, acha aisee hiyo mawazo ni maneno mbaya sana!
 
Hapa JK anaandaa mazingira ya kumwingiza mwislam ikulu 2015!
Mnyisansu, usijali kubezwa, kudharauliwa na kutukanwa kwa jambo ambalo litakuja kutokea, likishatokea ndipo utaheshimiwa!.

Kwenye CCM hakuna mwenye uwezo wa kuizuia kasi ya EL kuutaka urais kama ilivyokuwa kwa Sitta kurejea kwenye uspika. Kilichofanyika ni ku device suicidal mechanizim ili kuua ndoto jumla!. Namna pekee ya kumzuia Sitta ilikuwa ni kujenga hoja ya gender eti safari hii ni zamu mwanamke!. Sitta kwisha kazi!, hata huo uwaziri kapewa tuu kama kifuta machozi!.

CCM inaweza kuizima ndoto ya EL kwa kuutumia hoja ya baada ya bara kuushika urais wa muungano kwa vipindi viwili mfululizo "sasa ni zamu ya Zanzibar!". Hii inamaanisha atakayepitishwa ni Dr. Shein na ni Muislam!.

Kitu pekee kitakachoizuia CCM kumpitisha Shein au kutoa zamu kwa Zanzibar ni hoja mbili tuu za uwezekano wa mgombea wao kushindwa iwapo
1. Wapinzani wakuu wataungana kumsimamisha mgombea mmoja strong prefarably Dr. W. Slaa.
2. Matumizi ya siasa chafu zenye sumu ya udini kuwa haiwezekani atoke Muislamu, aje Muislamu, hivyo Wakristu waipigie CCM kura za chuki, hivyo uwezekano wa mgombea wao kushindwa!.

Hoja hizo ndizo pekee zitaifanya CCM kumuepuka Mzanzibari hivyo watawarudia wagombea wa bara wenye posibility ya kuuzika kumshinda mgombea wa upinzani!. Na hapa ndipo jina la EL litakuwa top of the list!.
 
Kumbe na wewe Pasco uko kwenye hili gonjwa la kumpenda mtu au kumchukia kwa sababu ya DINI yake? Basi ukombozi wa Tanzania uko mbali!
 
Kumbe na wewe Pasco uko kwenye hili gonjwa la kumpenda mtu au kumchukia kwa sababu ya DINI yake? Basi ukombozi wa Tanzania uko mbali!
Jesuit nadhani hii sio mara ya kwanza mimi kukuambia jina lako zuri ila mawazo yako!. Kama jina hilo limetokana na wale ma Jesuit Fathers kama wanaoendesha shule za Loyola duniani kote, nimekusamehe sio kosa lako ni effect ya free masonry kwako kwa sababu ma Jesuit Fathers ni ma freemasons wakubwa!.

Kwenye udini nimekupa dhana tuu na kwa taarifa yako mimi sio mdini kabisa!. Tutake tusitake karata ya udini ina play role kubwa sana kwenye siasa za Tanzania!. Unadhani kwa nini EL yuko bize kuchangisha makanisani na ujenzi wa misikiti?!. Unadhani anasukunwa na uchungu wa maendeleo pekee ndio maana anaongoza harambee nyingi za makanisani?!. Ulioana ile harambee ya msikiti wa Machame, Freeman alifanya nini?.

Kwenye posti yangu aliona hizo siasa za udini nimeziitaje?!.
 
Akiongea kwa jazba,Ngombale alikaririwa akipinga kwanza,kuundwa kwa Baraza la ushauri ambalo litakua na viongozi wakuu wastaafu kwa maana ya marais na mawaziri wakuu wastaafu akidai hatua hiyo itafanya chama kikose watu wa kukilea japo haikueleweka alikua anamaanisha nini!

Pia bwana kingunge alipinga mpango wa kuzuia wabunge kujilimbikizia vyeo vinavyoambatana na posho pia kwa kuwa wajumbe wa NEC.Tayari wabunge pia ni madiwani katika halmashauri wanazotoka na wanahudhuria vikao kama kama madiwani wengine.

Kuhusu mpango wa kuzuia wabunge kuwa wajumbe wa NEC, Ngombale alisema, “Huwezi kufanya haya kama unakitakia mema chama hiki. Labda kama mtakuwa mnathibitisha madai kuwa kuna agenda iliyojificha.”

Akiongea kwa jazba kali bwana Ngombale alisema, “Naomba mniweke kwenye kumbukumbu kwamba nimelipinga jambo hili.” akaendelea kufoka kwa kudai bila kuthibitisha kwamba utaratibu wa kupata wajumbe wa NEC kutoka wilayani eti utakuwa na athari kubwa kwa chama hicho kwenye siku za usoni; kwani utakifanya chama kuwa na makundi makubwa ya ugomvi na visasi!!!

Katika hali inayoonyesha kama walikua wamejipanga kabla ya bwana Ngombale kuchangia, Peter Serukamba , mjumbe wa NEC na mbunge wa Kigoma Mjini,nae alisimama na kupinga utaratibu mpya wa kutaka kuwaundia chombo maalum viongozi wakuu wastaafu na kuwatumia katika kukishauri chama.

Lakini hoja dhaifu za Peter akifuatiwa na Kingunge,zilizimwa na Mh.Abdulrahman Kinana aliyepigilia msumari wa mwisho kwa kueleza kuwa “hata wastaafu wenyewe wamekubaliana na jambo hili.” iweje nyie ndio mpinge kwa nguvu leo??

Huku akimuangalia rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Kinana alisema, “Au siyo Mzee Mwinyi.” Mwinyi aliitikia kwa kutikisa kichwa kuashiria kukubaliana.
.
Yote ya yote wakati mwingine uwa nakubali maneno ya marehemu baba yangu kuwa kila jambo linasababu yake,hakika Tanzania kumchagua Kikwete kwa lolote au namna yoyote haramu au halali amefanya ambyo ni nadra sana mtu mwingine yeyote angeyafanya bila kumwaga damu kwa maelfu ya watu.

Tatizo la Watanzaia kwenye ngazi ya utawala wa juu ilikuwa mikononi mwa mtu mmoja na kwa kuwa Mungu ni mkubwa kijukuu cha wanapwani kimetukwamua mikoni baada ya Nchi kuwa milimani Ukolo!!! sasa kwa maombi tuombe atakae kaa kwenye kiti chake awe ni Mtanzania mwenye hofu ya Mungu.

JK katungoleea tatizo na ndio maana hata tatizo lenyewe haliamini kama kweli kijana wanaemjua na kumlea wao leo kakua na kumshinda master.Kwa wanaojua kumngoa gwiji kwenye maamuzi hakika ni kazi inayostahili pongeze na maombi makubwa sana.Ebu MwanaJf tizama familia yako wewe binafsi na jamaa waliokaribu nawe waangalie jamii hiyo ya karibu inayokuhusu kwa ukaribu njoo mpaka ofsini kwako sehemu ambazo wewe unamaslahi yako binafsi na kikazi je kuna mtu ambae wewe ukimuona macho yako yanahofu kumtazama unaona kama ni kitu kisicho cha kawaida [exceptional] basi amini kwenye siasa zetu baada ya mwalimu kuna mtu alibeba uzito wa kusujudika kwa upande wa siasa za CCM na Serikali yake kwa kuwa mtu ambae kauri yake ama memo yake ingekufikia na ukatenda kinyume na maelekezo hakika ungejuta kuzaliwa Tanzania.

Kwa hakika strategy zilizopangwa zikapangika hatimae baada ya machungu ya miaka nenda ludi Taifa linaelekea kukombolewa.Ni wachache sana wanaweza kujua hili kuwa ni hatua kubwa sana sana kwenye historia ya Taifa hili.Ni kusema uko kwenye serikali ya Moi zama hizo kisha unaona gwiji kama biwot anangoka.

Ukiwa na jamaa mtaani kwenu au ofsini kwenu nyie mnamuona kama ndiye mwenye mafanikio yote yani yeye ndie bosi wa ofisi,nyie wote kwake ni watumwa wake,na kuwa ndiye kifedha na kimadraka mwenye nguvu zote basi jina moja kubwa na ambalo Mtanzania huyo atapewa na kufanana mtu yoyote mwenye kariba yake basi liatakuwa ni KINGUNGE.Je mwanajf ambae ni great thinker unajua kisaikolojia na kiroho mtu ambae jina lake binafsi amelitengeneza kwa mbinu zake binafsi iwe kwa kumuomba Mungu au kwa njia nyingine yoyote nje ya Mungu likafikia hadhi ya kuwa ni HESHIMA ya JINA wanaloitwa watu ambao KIFEDHA,KIMADARAKA na HESHIMA YENYE SIFA YA KUOGOPEKA KIJAMII basi mwenye jina hilo lazima awe ni mtu asie wa kawaida hata kidogo.Tafuta mtu ambae nyie mnamwita jina ilo mtaani,ofsini au majumbani kwenu nenda kaanzishe ligi/mtafaruku na mtu mwenye heshima ya jina ilo kwa sifa subiria majibu yake.

Basi ni kwa picha hiyo wanajf tunawezza kujua na kupima sifa za majina haya mawili kuwa mtu akiitwa mitaani kwetu kuwa huyu ni Nyerere atakuwa ni mtu mwenye msimamo wa umma,asiye na kitu chochote chenye hadhi ya kumuinua,anaekubalika kwa malofa/masikini mtaani lakini mtu akiitwa jina hilo jingine basi tegemea vice versa is true.Hivyo tujue kuwa kungoa mbuyu kwahitaji sara,maombi,ibada.

Mbuyu huwa aungolewi hivihivi ndio maana kwa wajenzi wa barabara kabla ya kungoa mbuyu uwaomba wazee wa Jadi na kuwapa heshima ya kuwa wanaomba ushirikiano wao kungoa mbuyu huo ili barabara ziweze kupita ili kuwaletea maendeleo wana wa Nchi.Mungu amesikia kilio na hatimae kwa hatua hiyo sasa tunaelekea safari yenye mwanzo mwema.

Nimependa neno lenye Red kwa kuwa limebeba maana yote ya kuthibitisha bidii za kuanguka kwa mbuyu kulivyojaribu kushinda na nguvu ya maombi ya wazee wa jadi kuwa barabara itapita tu.
 
Hapa JK anaandaa mazingira ya kumwingiza mwislam ikulu 2015!

Hana nguvu ya kumweka mtu wake kwani kapoteza imani kwa waTZ wote nadhani hata familia yake hawana imani nae
 
Wanavyoshindwa kuwa na maelewano baina yao wenyewe ndo nazidi kufarijika kuwa tutawang'oa madarakani kiraisi
 
Hizi comments,mngekuwa ana kwa ana ukumbini sijui ingekuwaje!Angalieni msije mkawa nanyi nivibaraka wa roho waraslimali za nchi hii.
 
Kwa staili hii EL mbuyu unaokitesa chama unakuwa ushang'olewa

Naaam.... Nice thinking ability.... mie nshaliona hili quickly kwani EL anakubalika kichama mnooo hadi makanisani.... So wazee wamekaa referee akiwa Mkuu wa kaya, kufanya mabadiliko makubwa kichama then EL hatakuwa na nguvu,
yaani EL atakuwa kavunjwa vunjwa, udini upo tu hasa pale AK alipo mwambia AU SIO MZEE MWINYI NA MWINYI AKATIKISA KICHWA KUKUBALIANA NA MABADILIKO MEANING LABDA MKAPA NA KINGUNGE HAWAKUJUA WHAT WAS GOING ON .... KUMBUKA SUMAYE + MKAPA LAST MEETING ya NEC WALIONYESHA WAZIII KUMSUPPORT EL HASA PALE EL ALIPOSEMA MWAMBIA JK KAMA SIO BUSARA ZA MZEE MKAPA LEO USINGEKUWA HAPO akikumbushia shutuma JK alizoundiwa kutoka Znz, NA MKAPA PLUS KINGUNGE PLUS SUMAYE WOOOTE WALIMKUBALI MNO EL, KWA
MAANA HIYO JK KAJIBU MAPIGO KWA EL THIS TIME, na Kinana plus Mwinyi wapo na JK, sasa unaona jinsi mchezo unachezwa..... Kingunge kabaki mdomo waziiii kwa kushangaaaa JK anapiga mpira ka Barca but politically.... EL next time tutamwona kajipanga vipi.... So MKUTANO ULIOPITA JK kashinda.... But ule wa awali kabla ya haya mabadiliko EL kashinda vibaya... So let's wait next NEC meeting tuone EL kajipanga vipi? EL is a powerful TYCOON, not an average fighter just to remind you... anaweza kuwakimbiza kambi ya JK, kina Nape ni vitoto tu na ujue nasema hivi kumbuka HATA KILE KIKAO CHA NEC KABLA YA HIKI CHA MABADILIKO YA MARAIS WASTAAFU JK MWENYEWE KASEMA KUMSUPOTI EL KUWA ANAYESEMA EL FISADI ASEME SASA NA USHAHIDI ALETE LA SIVYO KAMATI YA MAADILI ITAWACHUKULIWA HATUA WALIOKUWA WAKIMCHAFUA EL akimaanisha Nape na Sitta ila kumbuka alitamka haya BILA KUPENDA NI NGUVU ZA EL ZILIZIDI KTK KIKAO, ilibidi tu aseme hivyo that time, ila ndio akajipanga kuja na mabadiliko huku Tycoon Kinana akiwa upande wake ...... Let's watch this next time.... Hapa JF jaribuni kusearch & dig deep kidogo kujua hawa watu.... ..c u.. next time... @ take off ....
 
Mkuu Pasco. Mabadiliko ktk katiba ya CCM hayatakisaidia chama kwasababu yanalenga kuwakomoa baadhi ya watu. Nikiangalia wanachama wote wa CCM wanaosemwa wanataka kugombea Urais 2015 sioni yoyote mwenye kufikia nusu ya sifa za uongozi alizonazo Edward Lowassa. hayupo.
 
Hoja ya Mzanzibar kuja kututawala huku haina mashiko kamwe.
 
kajifunze kwenye katiba kama huwa tunaangali dini kwenye kuchagua Rais!!

Katiba huwa inahusikaje kwenye kuteua mgombea? nijulishe mkuu, je katiba ya chama, au ya Taifa?:A S-confused1:
 
Mnyisansu, usijali kubezwa, kudharauliwa na kutukanwa kwa jambo ambalo litakuja kutokea, likishatokea ndipo utaheshimiwa!.

Kwenye CCM hakuna mwenye uwezo wa kuizuia kasi ya EL kuutaka urais kama ilivyokuwa kwa Sitta kurejea kwenye uspika. Kilichofanyika ni ku device suicidal mechanizim ili kuua ndoto jumla!. Namna pekee ya kumzuia Sitta ilikuwa ni kujenga hoja ya gender eti safari hii ni zamu mwanamke!. Sitta kwisha kazi!, hata huo uwaziri kapewa tuu kama kifuta machozi!.

CCM inaweza kuizima ndoto ya EL kwa kuutumia hoja ya baada ya bara kuushika urais wa muungano kwa vipindi viwili mfululizo "sasa ni zamu ya Zanzibar!". Hii inamaanisha atakayepitishwa ni Dr. Shein na ni Muislam!.

Kitu pekee kitakachoizuia CCM kumpitisha Shein au kutoa zamu kwa Zanzibar ni hoja mbili tuu za uwezekano wa mgombea wao kushindwa iwapo
1. Wapinzani wakuu wataungana kumsimamisha mgombea mmoja strong prefarably Dr. W. Slaa.
2. Matumizi ya siasa chafu zenye sumu ya udini kuwa haiwezekani atoke Muislamu, aje Muislamu, hivyo Wakristu waipigie CCM kura za chuki, hivyo uwezekano wa mgombea wao kushindwa!.

Hoja hizo ndizo pekee zitaifanya CCM kumuepuka Mzanzibari hivyo watawarudia wagombea wa bara wenye posibility ya kuuzika kumshinda mgombea wa upinzani!. Na hapa ndipo jina la EL litakuwa top of the list!.
Unajua kwa nini nakupenda mkuu wangu.. Ni kwa sababu unazungumza Hali halisi - ukweli wa fikra za Wadanganyika ambao wengi wanapenda sana kuuficha japokuwa nyoyo zao zinaweka madai haya na hawatapenda iwe kinyume. Hakuna swala nchini lisilotazamwa kwa picha ya dini ama hizi nchi mbili zilizoungana japokuwa la Ukabila ni hafifu lakini nalo lipo.

Nyerere aliweza sana kupambana na fikra hizi na kwa kiwango kikubwa ndipo mafanikio ya sifa zote alizopata zimetokana na kuua Udini, Uzanzibar/Ubara na Makabila akijua madhara yake kama asipovipiga vita mapema. Sisi bila kujua manan tunaenda ktk usiku wa kiza na mgao wa maisha, tumerudi ktk matabaka haya bila kujali athari zake na hakika uchaguzi wa mwaka 2015 utawapa wananchi picha halisi na hapo hawatakuwa na mtu wa kumlalamikia isipokuwa sisi wenyewe.
 
It is a matter of time! Mtayakumbuka maneno yangu.
mkuu badilika kidogo,naona sasa kila mtu humu amekujua mwanzo ilikua ni mimi tu sasa hata mtoto mdogo anajua kwamba wewe ni mlutheri kupita kiasi na ungependa safari hii rais awe mlutheri mwenzake,lakini sisi tunataka rais atakaekidhi matarajio ya watanzania kuijumla sio matarajio yako wewe na walutheri wenzako pekeenu na lowassa kaligundua hilo ndio sasa hivi yuko busy na wakatoliki na waislam,nyie kaona mtamurabia mipango yake kwanza hamna political hapa kama waislam na wakatoliki hapa tanzania,huo ndio ukweli japo ni mchungu.
 
Kwa staili hii EL mbuyu unaokitesa chama unakuwa ushang'olewa

tuliwaeleza watu jk ni mtu wa mjini wao hawakutuelewa wakawa wanang'ang'ania oooh lowassa ana nguvu ccm(NEC) lowassa na rostam ndio wamemuweka pale;wapi rostam aziz sasa??na lowassa na hizo "nguvu" zake huko NEC sasa wanatakiwa kupima kabla ya uchaguzi waccm na kufanya maamuzi magumu ya ama kugombea kuingia NEC ama kuachana na NEC na kusubiri ubunge;

Kwa kuwakumbusha tu waheshimiwa wabunge na ambao ni wajumbe wa NEC ambao ni waumini wa EL,Ni kwamba ukichukua fomu ua kugombea kuingia NECujue wazi huu ubunge ulionao ndio wa mwisho kwako,kwa kuwa kwenye uchaguzi ujao ikifika kwenye uchaguzi wa kura zamaoni ndani ya chama utakua huna sifa ya hata kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa ccm.So mfanye maamuzi mapema,na haya yamepitishwa na NEC ambako huwa inasemekana lowassa ana nguvu nyingi huko.
 
Kim, nitaku PM ujumbe fulani na utapata mtizamo sahihi kuhusu mm
 
Naaam.... Nice thinking ability.... mie nshaliona hili quickly kwani EL anakubalika kichama mnooo hadi makanisani.... So wazee wamekaa referee akiwa Mkuu wa kaya, kufanya mabadiliko makubwa kichama then EL hatakuwa na nguvu,
yaani EL atakuwa kavunjwa vunjwa, udini upo tu hasa pale AK alipo mwambia AU SIO MZEE MWINYI NA MWINYI AKATIKISA KICHWA KUKUBALIANA NA MABADILIKO MEANING LABDA MKAPA NA KINGUNGE HAWAKUJUA WHAT WAS GOING ON .... KUMBUKA SUMAYE + MKAPA LAST MEETING ya NEC WALIONYESHA WAZIII KUMSUPPORT EL HASA PALE EL ALIPOSEMA MWAMBIA JK KAMA SIO BUSARA ZA MZEE MKAPA LEO USINGEKUWA HAPO akikumbushia shutuma JK alizoundiwa kutoka Znz, NA MKAPA PLUS KINGUNGE PLUS SUMAYE WOOOTE WALIMKUBALI MNO EL, KWA
MAANA HIYO JK KAJIBU MAPIGO KWA EL THIS TIME, na Kinana plus Mwinyi wapo na JK, sasa unaona jinsi mchezo unachezwa..... Kingunge kabaki mdomo waziiii kwa kushangaaaa JK anapiga mpira ka Barca but politically.... EL next time tutamwona kajipanga vipi.... So MKUTANO ULIOPITA JK kashinda.... But ule wa awali kabla ya haya mabadiliko EL kashinda vibaya... So let's wait next NEC meeting tuone EL kajipanga vipi? EL is a powerful TYCOON, not an average fighter just to remind you... anaweza kuwakimbiza kambi ya JK, kina Nape ni vitoto tu na ujue nasema hivi kumbuka HATA KILE KIKAO CHA NEC KABLA YA HIKI CHA MABADILIKO YA MARAIS WASTAAFU JK MWENYEWE KASEMA KUMSUPOTI EL KUWA ANAYESEMA EL FISADI ASEME SASA NA USHAHIDI ALETE LA SIVYO KAMATI YA MAADILI ITAWACHUKULIWA HATUA WALIOKUWA WAKIMCHAFUA EL akimaanisha Nape na Sitta ila kumbuka alitamka haya BILA KUPENDA NI NGUVU ZA EL ZILIZIDI KTK KIKAO, ilibidi tu aseme hivyo that time, ila ndio akajipanga kuja na mabadiliko huku Tycoon Kinana akiwa upande wake ...... Let's watch this next time.... Hapa JF jaribuni kusearch & dig deep kidogo kujua hawa watu.... ..c u.. next time... @ take off ....

Unachanganya mambo,kwanza kwenye kamati inayoelezwa ya wazee huyu kingunge hatakuwemo kwani hana sifa za kuingia humo kwa kuwa hakuwahi kuwa waziri mkuu wala rais wa tanzania ama zanzibar,yeye nalikuwaga mku wa mkoa tu kwa muda mrefu na mwinyi akaja kumpa uwaziri na kote hakuwahi kufanya vizuri kawaulize watu wa mbeya na kwingineko alikowahi kuwa mkuu wa mkoa.

Pili kina anaposema hata wazee wenyewe wamekubali kuundiwa chombo maalum anamaanisha wazee ni mkapa,karume,sumaye,malecela,warioba,msuya,salim na salmin,kingunge ni mtoto mdogo sana hapa,yeye size yake ni maji ya tanga Mzindakaya!hapa hatii mguu,yeye kilio chote pale sio uchungu kwa wazee kuundiwa chombo,yeye alikua anamlilia lowassa ambae anaona kabisa kishaelekezwa kibla kwa ajili ya kuchinjiwa baharini kama mbuzi wa kafara!
 
Are you serious dude? St. Nyerere aliangamiza uchumi wa nchi hii kwa mikono yake beyond repair! Mpaka Mwinyi na Salimu walipokuja na sera za kufufua uchumi! Au wewe ulikuwa unachapa divai tu?
Hata Kanisa likimtangaza utakatifu basi ataitwa Saimt Julius, kwa binadamu mwenye jina Nyerere hakuwahi kuwa mkristo.
 
Back
Top Bottom