KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #41
Kim, nitaku PM ujumbe fulani na utapata mtizamo sahihi kuhusu mm
vipi jamaa yenu lowassa kachagua nini sasa kati ya ubunge ama u-nec,inabidi apime na kufanya maamuzi magumu mapema yeye na wapambe wake walio kwenye ubunge na u-nec akiwemo peter,jakaya ndio kaamua kumchinjilia mbali,kaweka urafiki wao pembeni na kuweka mbele maslahi ya nchi kwanza.Nasikia lowassa anatuma wazee wa kilutheri kwenda kumuomba sitta waungane,sitta atmuuliza jambo moja tu kuhusu ile sumu aliompa mwakyembe!