Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..
Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...
Hali yake sio nzuri sana.....
We mtu hispital ndiyo nini?Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..
Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...
Hali yake sio nzuri sana.....
Safari ya China Dili lilikataa sasa mnafikiri asipate presha mchezo .......
Mbona anaendelea vizuri tuu wala sio Kama unavyoelezea...rashidiyah kuna hospital au unakusudia Rashid Hospital? Kama ni hiyo sio kweli hayuko hapo... Nenda kapate habari kamili urejee tena.....
Amemaliza hela za serikali kwa ziara zisizo na tija mpaka serikali imekopa MSD na sasa dawa hazipatikani muhimbili halafu yeye anaenda kutibiwa nje ya nchi, ajue tu siku ikifika atakufa na atazikwa sawa na maskini.