Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo amekutana na kushangiliwa kwa nguvu na madereva wa pikipiki za kubebea abiria maarufu kama Boda boda wakati wa kikao na Boda boda hao kilichofanyika ukumbi wa Mtenda ,Soweto Mbeya ikiwa moja ya sehemu za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.source CCM blog
