Kinana aivua nguo Serikali ya CCM!

Kinana aivua nguo Serikali ya CCM!

Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.

Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali izungungumze na wananchi wake kabla ya kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo.Amedai kuwa Serikali ( tena ya CCM) haina utaratibu wa kuzungumza na wananchi wake na kusababisha kutokea kama yale ya Mtwara.

Waungwana,haya kweli ni maneno ya Kinana kuzungumza mbele ya wananchi? Alilenga kuwalaghai au kuidhalilisha Serikali? Nani atamwamini Kinana,mtu mwenye nafasi mujarabu wa kushauri vikaoni mambo kama haya kwa kuimarisha chama na Serikali ya chama chake?

The next Hollace Kolimba in speech?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tatizo lililopo ni kuwa pale pashaoza hata angetokea Mwl. JK mwingine ndani mle tungeona kuwa naye ni sehemu ya uoza ule, hivyo Mh. Kinana aka tembo dentist akiona serikali yao haishauriki achukue hatua waungwana tutamwelewa tu,
 
Mkuu mbona hata wabunge wote wa ccm huwa wanakandia bajeti ya serikali ilhali kabla hajachangia anaanza kwa kuunga mkono hoja? hiyo ndio ccm wanajua watz hupenda kudanganywa kwanza na ku stave for a long term then ndio wanagundua walidanganywa na wakati huo unakuta muongo au aliye danganya kahama wizara, kafa, ka staafu and soo

Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.

Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali izungungumze na wananchi wake kabla ya kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo.Amedai kuwa Serikali ( tena ya CCM) haina utaratibu wa kuzungumza na wananchi wake na kusababisha kutokea kama yale ya Mtwara.

Waungwana,haya kweli ni maneno ya Kinana kuzungumza mbele ya wananchi? Alilenga kuwalaghai au kuidhalilisha Serikali? Nani atamwamini Kinana,mtu mwenye nafasi mujarabu wa kushauri vikaoni mambo kama haya kwa kuimarisha chama na Serikali ya chama chake?

The next Hollace Kolimba in speech?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
JE kuhusu ujangili alisemaje?

Misimamo kama hii ndiyo itakayofanya Vyama vya Upinzani viendelee kuwa na "hasira" ya kutokuchukua Nchi kwa muda mrefu,kwa sababu hizi ni "propaganda" zinazowafanya wapiganaji wa upinzaniwajiamini sana kwamba wameshinda,wakati ukweli ni kwamba CCM wako field,na wanafanya Kazi.....

I have no problem with that! You are entitled to your own opinion.
 
Mi naona kama Kinana anashurutishwa tu kufanya hiyo kazi, hotuba zake zote huwa haziendani na matendo ya viongozi wote wa serikali ya ccm kuanzia kwa wafagiaji mahofisini mpaka kwa Rais.

Kazi yenyewe hii inamsababishia watu kuvuatilia biashara zake na kutoa matamko ya ajabu ajabu yanayomchafulia jina na sifa yake ndani na nje ya nchi.

Utendaji kazi wake wote unatoa picha kwamba kuna uwezekano mkubwa yuko blackmailed, anafanya kazi ambayo anajua hailipi, laiti mngejua ni maneno gani aliyasema akiwa kwenye kikao fulani hivi karibuni, mngebaki mdomo wazi.

Mkuu Sangarara, ili kulitendea haki hili Jukwaa "Where people dare to talk", ungetanabaisha hayo maneno aliyoyasema, ni ktk kikao gani na muktadha upi!!
 
Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.

Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali izungungumze na wananchi wake kabla ya kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo.Amedai kuwa Serikali ( tena ya CCM) haina utaratibu wa kuzungumza na wananchi wake na kusababisha kutokea kama yale ya Mtwara.

Waungwana,haya kweli ni maneno ya Kinana kuzungumza mbele ya wananchi? Alilenga kuwalaghai au kuidhalilisha Serikali? Nani atamwamini Kinana,mtu mwenye nafasi mujarabu wa kushauri vikaoni mambo kama haya kwa kuimarisha chama na Serikali ya chama chake?

The next Hollace Kolimba in speech?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Jamani, kama wao wenyewe wametambua kasoro zao na wameamua kuwa wakweli sidhani kama ni vibaya. Mlitaka aseme uongo?
 
Ipo siku atasema mengi zaidi. Kumbuka uongo ni wa kitambo tu na kamwe ukweli haufi.
 
Mbona hiyo ni akili ya kawaida sana?

Humwoni kwamba CCM wamekuja na mkakati mpya wa kujifanya kama vile wana safe-guard serikali wakina na nina ya kutafuta mandate kwa wananchi?

Open our eyes and ears Great thinkers!!!

Hakuna kitu hapo ni kagari tupu!
 
Aliyasema hayo kumfurahisha Deo Filikunjombe. Kumbuka alikuwa Ludewa na Ludewa kuna mgodi wa makaa ya mawe. Filkunjombe huwa hana huo "UPOPO" wa CCM aliogopa angeweza kumlipua hapo jukwaani LIVE.

Kama anajua hivyo kwanini basi asiishauri SERIKALI ikae na Wananchi wa Mtwara kuhusu suala la gesi?

makaa ya mawe si dili wewe. Yangekuwa, leo kiwira ingekuwa kama Mtwara
 
Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.

Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali izungungumze na wananchi wake kabla ya kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo.Amedai kuwa Serikali ( tena ya CCM) haina utaratibu wa kuzungumza na wananchi wake na kusababisha kutokea kama yale ya Mtwara.

Waungwana,haya kweli ni maneno ya Kinana kuzungumza mbele ya wananchi? Alilenga kuwalaghai au kuidhalilisha Serikali? Nani atamwamini Kinana,mtu mwenye nafasi mujarabu wa kushauri vikaoni mambo kama haya kwa kuimarisha chama na Serikali ya chama chake?

The next Hollace Kolimba in speech?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Ameongea ukweli Mkuu ingawa ukweli unauma
 
Yaliosemwa na Ndg Kinana ni ukweli na ukweli mtupu; hakuna kitu kinachotukera kufa na hii serikali ya CCM kama mazoea ya KUAMULIWA MIRADI YA MAENDELEO NA 'KILE KILICHOCHEMA KWETU' kukifanya na uongozi kutoka juu ni msiba kwa malengo yote ya wananchi kujipatia maendeleo yanayokidhi matakwa yao ya msingi.

Indeed, the prevalently ever notorious CCM's single-party era
TOP-DOWN APPROACH TO PROJECT INITIATION AND ROUND PROJECT CYCLE MANAGEMENT in every other public project, in the same approach, form, context and manner often accomplished by 'people who are totally foreign' to our development plight and priorities at the grassroot levels, is a best breeding ground for mega-corruption as not a single stakeholder literally bears any sounder grounds to exercise effective checks and balances in all phases of a project implementation schedules.

This popular stakeholder by-pass in all projects, or simply planting in 'faithful stakeholders', keeping all contracts on public projects SECRET, and the ultimate use of armed force on own people are but a totality to give room for corruption to mint undeserved cash to be invested IN BUYING GENERAL ELECTION at the absurdity and helplessness of the electorates' popular view in the ballot box.

Let orninary citizen's humble ideas on Mtwara Gas project be the formulating foundation of the whole endeavour in order that the investor's every unit of shillings comitted therein gets popular assurance of enjoying a voluntary support and sustainability prospects in the entire undertaking.
 
Alikuwa anakwepa kuzomewa ikabidi aseme maneno ambayo angehisi ataeleweka.
 
Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.

Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali izungungumze na wananchi wake kabla ya kuanzishwa kwa miradi ya maendeleo.Amedai kuwa Serikali ( tena ya CCM) haina utaratibu wa kuzungumza na wananchi wake na kusababisha kutokea kama yale ya Mtwara.

Waungwana,haya kweli ni maneno ya Kinana kuzungumza mbele ya wananchi? Alilenga kuwalaghai au kuidhalilisha Serikali? Nani atamwamini Kinana,mtu mwenye nafasi mujarabu wa kushauri vikaoni mambo kama haya kwa kuimarisha chama na Serikali ya chama chake?

The next Hollace Kolimba in speech?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mbona na yeye anaficha NDOVU BARIDI???
 
watu wapo kimaslahi zaidi. mimi na wewe tutaona ameiabisha serikali lakini mwenyewe wala hana habari. ajuavyo yeye amepiga changa la macho wananchi.............
 
Hawaeleweki. Utamsikia JK akisema wanaitaka serikali ichukue hatua au isimamie jambo fulani. Sasa hapo haijulikani anaitaka serikali ipi wakati yeye ndiye m/kiti wa CCM na rais
 
Anaweza akakanusha kwa kusema kanukuliwa vibaya.
 
Back
Top Bottom