Kinana aitesa CHADEMA, avuna Katibu wao Chunya na wanachama zaidi ya 86


Kaka CCM kuna hela ya wajinga, wajanja wanaichukua kirahisi mno. MaCCM hawafanyi hata uchunguzi, ukitaka kula hela yao kirahisi jifanye umetoka Chadema na ulikuwa kiongozi. Wajanja wengi kwasasa wamewafanya magamba mtaji.
 
Uzalendo umeupata wapi Riz karma sio unafiki. Pia no vema ukaendelea kununua wenye njaa ya tumbo maana maisha bora kwa kila mbongo baba kafeli na big results now imekuja na daraja la 5! Wewe mwenyewe uwakili wako haueleweki
 
chadema imekufa mapema kuliko muda aliotabiri wassira...

hujui siasa kijana vibaraka hata sa akina askofu muzolewa walishirikiana na makaburu kuwatesa na kuwauwa weusi, sasa mnachofanya kupandikiza mamluki tuko ahead of you guys siasa za kitoto
 
Uzalendo umeupata wapi Riz karma sio unafiki. Pia no vema ukaendelea kununua wenye njaa ya tumbo maana maisha bora kwa kila mbongo baba kafeli na big results now imekuja na daraja la 5! Wewe mwenyewe uwakili wako haueleweki
 

Thank you kukubali wewe na akina mwapamba mlipandikizwa lakini cdm tuko imara na tutazidi kusafisha nyumba(jihadhari na akina kapuya)ndicho ulichobakiza huko wakuchezee, wakutumie halafu wakuzike kwa bendera za ccm pole kabinti
 

Waitara asante sana kaka kwa hii taarifa .Mimi nilishangaa kuona anachuua kadi kavaa gwanda nikajua hakuwa na nguo zaidi ya vazi ka Chadema .Na nilijua taarifa sahihi zitakuja .Asante sana .
 
Ridhiwani Kikwete

Wewe mzalendo unasubiri nini? Njoo kwenye Chama kinachokujali,kinachokutumikia na kinachoangalia mustakabali ya Uhuru wetu na Mshikamano kwa mapana..."
... Chama kinachosimamia uuzaji wa Nyara za serikali (ukifanywa na watu binafsi), kinacholinda mafisadi, wauza unga, na kinachong'oa meno na kucha za wazalendo kule mabwebande, chama kinachotuma askari kuua wazalendo kwenye mikutano ya vyama vya upinzani...
 
Right word ni kwamba Kinana anawatesa Watanzania wenye njaa .Mimi Kinana anaweza kunieleza nini hadi nimwelewe.Anawanunua wenye njaa kama wewe .Kupelekwa UK kama Mwigamba mkanyea kambi .Nani anaweza nieleza kwa nini Shonza haandamani na Mwigulu tena ?
 
Huyo Braisoni sio katibu alifukuzwa ukatibu tangu mwezi wa tano alivuliwa ukatibu kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya chama kwa sh. Laki mbili kwaiyo ana njaa sana na toka alipo vuliwa u katibu alikua hayupo kabisa katika chama katibu wa chadema chunya anaitwa Protas mgimbila so braisoni sio katibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…