Kinana afanya Ziara ya kushtukiza Tabora...!

Kinana afanya Ziara ya kushtukiza Tabora...!

Tabora +mtwara=? Huko ndiko maendeleo yanajadiliwa kwenye vijiwe vya kahawa, ndio maana msomali Rage akitoa round ya kahawa watu hawalali
 
Bahati mbaya sana kwa wachangiaji wa jukwaa hili, nasema ni bahati mbaya kwani hili linalotendeka humu halifunzi, halikuzi wala haliendelezi bali lina kera, linaudhi, na kupotosha. Jambo hili hasa hufanywa na pro-chadema katika jukwaa hili ambapo wengi katika wao huwa hawana kawaida wala utaratibu wa kujadili kitu kwa hoja bali hudhiaki, hukejeli na kutukana, hata katika yale ya msingi yenye kugusa utaifa wetu yatupasajo kuyajadili kwa umakini na hekima kuu.

Niliwahi kupata sema sehemu kuwa miongoni mwa jambo baya ambalo upinzani hasa chadema wamekuja nalo ni pamoja na kutuma vijana katika vyombo vya habari lakini pia mitandao ya kijamii ambapo wanapotosha, wanatukana na kukashifu viongozi wa chama na serikali. wanasambaza chuki na kufitinisha watu na makundi ya watu.

Nchi hii inayo misingi inayotulinda na kutuelekeza namna gani tuishi, ikihimiza kuheshimiana, utii na kushirikiana chini ya dhana kuu ya Ujamaa, tukijengewa misingi ya upendo na mshikamano, vitu ambavyo kwa sasa vinadharauliwa na kubezwa watu wakapanda mbegu za ubaguzi, ukanda, udini na chuki. Tulipokusudia kama Taifa kuanzisha vyama vingi wengi katika watu wliliona hili na kulihofia lakini kwa hekima za baadhi yetu walio na mamlaka wakakubali kuwa tuanzishe mfumo wa vyama vingi lakini kwa utaratibu huu tunaoenda nao tutafanya Taifa lisiwe salama.

Mkuu mbona sioni POINTI hata MOJA , Yani sentensi zote hizo alafu natoka kapa?
 
Jamaa anakusanya perdiem kama analia vile, na atazipata mpaka kufika 2015! Hivi amesafiri na mke wake kweli?
 
bahati mbaya sana kwa wachangiaji wa jukwaa hili, nasema ni bahati mbaya kwani hili linalotendeka humu halifunzi, halikuzi wala haliendelezi bali lina kera, linaudhi, na kupotosha. Jambo hili hasa hufanywa na pro-chadema katika jukwaa hili ambapo wengi katika wao huwa hawana kawaida wala utaratibu wa kujadili kitu kwa hoja bali hudhiaki, hukejeli na kutukana, hata katika yale ya msingi yenye kugusa utaifa wetu yatupasajo kuyajadili kwa umakini na hekima kuu.

Niliwahi kupata sema sehemu kuwa miongoni mwa jambo baya ambalo upinzani hasa chadema wamekuja nalo ni pamoja na kutuma vijana katika vyombo vya habari lakini pia mitandao ya kijamii ambapo wanapotosha, wanatukana na kukashifu viongozi wa chama na serikali. Wanasambaza chuki na kufitinisha watu na makundi ya watu.

Nchi hii inayo misingi inayotulinda na kutuelekeza namna gani tuishi, ikihimiza kuheshimiana, utii na kushirikiana chini ya dhana kuu ya ujamaa, tukijengewa misingi ya upendo na mshikamano, vitu ambavyo kwa sasa vinadharauliwa na kubezwa watu wakapanda mbegu za ubaguzi, ukanda, udini na chuki. Tulipokusudia kama taifa kuanzisha vyama vingi wengi katika watu wliliona hili na kulihofia lakini kwa hekima za baadhi yetu walio na mamlaka wakakubali kuwa tuanzishe mfumo wa vyama vingi lakini kwa utaratibu huu tunaoenda nao tutafanya taifa lisiwe salama.

kafie mbali kule na pumba zako!!!!!!!!
 
kafie mbali kule na pumba zako!!!!!!!!

Majibu haya yanadhihirisha kuwa kilichoandikwa na TANDALEONE ni kitu sahihi.,kwa maana yaleyale yaliyosemwa kuwa wapo ambao kazi yao ni kutukana na kuongea yenye kuudhi na wewe ni mmoja wa hao...!
 
Nchi hii inayo misingi inayotulinda na kutuelekeza namna gani tuishi, ikihimiza kuheshimiana, utii na kushirikiana chini ya dhana kuu ya Ujamaa, tukijengewa misingi ya upendo na mshikamano, vitu ambavyo kwa sasa vinadharauliwa na kubezwa watu wakapanda mbegu za ubaguzi, ukanda, udini na chuki.[/QUOTE]

Hii misingi imeuliwa na CCM; hushangai Dr. Dhaifu anashangaa "Kwa nini CCM inachukiwa hivi? Naomba umweleze ameua hiyo misingi ya kitaifa na kuasisi misingi ya ubinafsi, kudharauliana, kubezana, ubaguzi, udini na chuki.

Tulipokusudia kama Taifa kuanzisha vyama vingi wengi katika watu waliliona hili na kulihofia lakini kwa hekima za baadhi yetu walio na mamlaka wakakubali kuwa tuanzishe mfumo wa vyama vingi lakini kwa utaratibu huu tunaoenda nao tutafanya Taifa lisiwe salama.[/QUOTE]

Vyama vya siasa havikuanzishwa kwa matakwa ya watawala bali kwa kutishiwa kukatishiwa misaada. CCM ikaasisi vyama kwa kutumia mamluki wake. Na wengine waliokataa kutumika walipata tabu lakini wamesimama. Usalama wa taifa lo lote una misingi katika tunu za taifa zilizouawa na CCM kwa Azimio la Zanzibar na uchumi holela, Walisahau kuua kusiko halali damu inatafuta na kutafuna.

Sasa yote unayoyalalamikia ni matokeo ya kuua uhalali na uhalisia wa taifa. Nakuomba jitayarishe na dhoruba ya mabadiriko; maana hapatakuwa na salia mtume.
 
Bahati mbaya sana kwa wachangiaji wa jukwaa hili, nasema ni bahati mbaya kwani hili linalotendeka humu halifunzi, halikuzi wala haliendelezi bali lina kera, linaudhi, na kupotosha. Jambo hili hasa hufanywa na pro-chadema katika jukwaa hili ambapo wengi katika wao huwa hawana kawaida wala utaratibu wa kujadili kitu kwa hoja bali hudhiaki, hukejeli na kutukana, hata katika yale ya msingi yenye kugusa utaifa wetu yatupasajo kuyajadili kwa umakini na hekima kuu.

Niliwahi kupata sema sehemu kuwa miongoni mwa jambo baya ambalo upinzani hasa chadema wamekuja nalo ni pamoja na kutuma vijana katika vyombo vya habari lakini pia mitandao ya kijamii ambapo wanapotosha, wanatukana na kukashifu viongozi wa chama na serikali. wanasambaza chuki na kufitinisha watu na makundi ya watu.

Nchi hii inayo misingi inayotulinda na kutuelekeza namna gani tuishi, ikihimiza kuheshimiana, utii na kushirikiana chini ya dhana kuu ya Ujamaa, tukijengewa misingi ya upendo na mshikamano, vitu ambavyo kwa sasa vinadharauliwa na kubezwa watu wakapanda mbegu za ubaguzi, ukanda, udini na chuki. Tulipokusudia kama Taifa kuanzisha vyama vingi wengi katika watu wliliona hili na kulihofia lakini kwa hekima za baadhi yetu walio na mamlaka wakakubali kuwa tuanzishe mfumo wa vyama vingi lakini kwa utaratibu huu tunaoenda nao tutafanya Taifa lisiwe salama.
Well said tandale hawa wengi wao ni wahuni wasio na wajibu ktk jamii watu wasio na mbele wala nyuma ,wamekata tamaa kwa kutopenda kazi ,hawana maadili kazi yao kubwa ni majungu na kutukana watu ukiwauliza wanasema eti ukombozi
Sijui wanatka kumkomboa nani mbaya zaidi wanapiga propaganda sana hawakubali kuwa wao bado sana pia
 
hongera kinana kwa mwanzo mzuri.watanzania tuna imani na wewe
a
Sisi tusiokuwa na imani naye unatupa Uraia wa wapi? maana siku hizi unaweza kupata Urai popote, Kinana ni Msomali lakini ndiye anayenufaika na Tembo wetu.
 
Kushitukizana na kufumaniana. Why? Karne ya 21 watu wanafanya kazi kwa stahili hii. Ukiona hivi ujue hawaaminiani na wanazidi kejengeana hofu. Mtu mwenye hofu hawezi kufanya kazi vizuri.
Huku ni kukurupuka. Kukimbizana. Kutishana. Kujijengea umungu mtu. CCM kiweke mikakati ya kujiimarisha na siyo kufanya kazi kama vichaa, Utendaji wa namna hii utaendelea kuchimba kaburi la CCM. Hongereni sana.
 
a
Sisi tusiokuwa na imani naye unatupa Uraia wa wapi? maana siku hizi unaweza kupata Urai popote, Kinana ni Msomali lakini ndiye anayenufaika na Tembo wetu.

Ukishangaa ya Kinana utayaona ya Madabida na ARV!
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amefanya ziara ya kushtukiza katika Mkoa wa Tabora asubuhi hii ambapo amekutana na Mkuu wa Mkoa huo Bi Fatma Mwasa na pia kukutana na viongozi wa Chama wa Mkoa ambapo alifanya kikao kidogo na viongozi hao akisisitiza juu ya utekelezaji wa Ilani na maagizo ya Mkutano Mkuu wa kufanya Mikutano ya ndani na nje na kutembelea mashina. Alisisitiza kuwa litakuwa ni jambo la ajabu ikiwa yeye kama Katibu Mkuu wa Chama katika ziara zake anatembelea na kufungua mashina kisha viongozi wa Mkoa ama eneo husika hawatembelei mashina hayo wala kufuatilia maendeleo yake.

Ndugu Kinana alitua Tabora Asubuhi hii akiwa njiani kutoka katika Mkoa wa Rukwa ambako alifanya Mkutano wa Hadhara na pia kufungua shina la Isesa wilayani Sumbawanga. Ndugu Kinana hivi punde ataendelea na Ziara yake, ambapo ataelekea Geita ambako atafanya Mkutano wa Hadhara na pia kufuatilia kero za wachimbaji wadogo pamoja na hali za waajiriwa katika migodi.

View attachment 72124 View attachment 72125

Tunataka kumuona Kinana akishughulikia kero namba moja ya watanzania wote "mother of all kero's" ambayo ni RUSHWA, UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA NA UFISADI; he should stop being busy for nothing na kufuja pesa za walala hoi (tunajua anatumia resources za umma sio za CCM) kwa kufuatilia peripheral issues ambazo zimetokana na kero mama hapa juu.

We know Kinana is smart on that game ndio maana alikimbia siasa za Arusha tangu 90's.

Kinana wacha kuwa kama paka kumkimbia panya buku!!
 
Wameona joto la jiwe la wanainchi kuwazomea kwa hiyo wamenaza kuwakwepa. Mwisho ziara zao zitaishia ktk kutembelea viongozi wa matawi ya CCM tu.
 
Wanajamvi hebu tupeni maelezo ya waliomo katika hiyo picha..... huyo mama mnene ndiyo mkewe kinana au?
 
Wanajamvi hebu tupeni maelezo ya waliomo katika hiyo picha..... huyo mama mnene ndiyo mkewe kinana au?

Watanzania bana,
kama akiwa mkewe? what's then?

Huyo ni mkuu wa mkoa anaitwa Fatma Mwasa.

Tunasikiliza......
 
Back
Top Bottom