Kinahitajika kiwanja Gezaulole

Kinahitajika kiwanja Gezaulole

Sword

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
864
Reaction score
184
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Gezaulole, Je inaweza kuwa ni Tsh ngapi? Ukubwa ni kuanzia square meter 700 hadi 1000.

Na ningependa pale Geza mwanzoni sio kule mbele kuelekea Kimbiji.

Asante,

Endapo kuna mtu anauza, ama anajamaa yake anauza ashuke maelezo humu naamini ikitokea nikashindwa wapo wengine wataweza.
 
Back
Top Bottom