Kinadada piteni hapa turekebishane

Kinadada piteni hapa turekebishane

Naona wameamua kuitana ili kukukomoa.
Ila message sent.
mfano apa chuo unaweza ukaskia mtu anaita bby,wanapigana makiss hamna cha kuwafanya.
Tuwaache watu wazima na uamuzi wao..

tena shetani kawapa ujasiri wa kujitetea kwa nguvu zote,ila mungu anawaona
 
Wapo humu humu JF, na kwenye uzi huu wamejipambanua wazi wazi, bila kificho!
 
Na nyie muache hayo makitu. Mungu hapendi

dada zetu mmezidi kufanya mambo haya hadharani tena istagram inawapoteza mnapiga picha mmekumbatiana kimahaba huku mnakiss,sijui mnaifundisha nini upcoming generation,kasi ya wanaume si sawa na wanawake,dar nyumbani nawaelewa huko kukiss hadharan ni kama fasion,hapa mombasa pia ni afadhali ya dar. sijui nimwambie dougiemaster anisaidie kufikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom