abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Mleta maada angalia nawe usije sagwa maana nimesoma comments zote naona umezungukwa na Wahusuka tupuuu hapa!!!
u better quit becouse they will fighting you in words
Mleta maada angalia nawe usije sagwa maana nimesoma comments zote naona umezungukwa na Wahusuka tupuuu hapa!!!
Miss you too sugarplum
i love u
Nyoooooooooo.
Du mtoa mada umeongea kwa hasira, ni kweli haipendezi hasa sweatheart, honey, babe hata dear binafsi nadhani imekaa kushoto. Ila mpenzi, mamy naona sio mbaya sana, lakini pia inapendeza kuitana na rafiki yako wa karibu zaidi sio kila rafiki au mtu tu kumuita hivyo, japo ndio hivyo siku hizi kila mtu honey.
Lakini kumbuka si kila aliye na rafiki wa karibu na wanaitana hayo majina ni wasagaji. Hilo suala la kukiss ni hatari sana, binafsi nawaambia wanawake to stop it, maana huo ndio mwanzo wa kufanya ufuska usiotarajiwa.
Western culture itawamaliza mambo yakwenye tamthilia hayo wanapractice"
walana wao kwa wao kisha wanasema uzungu
hata wewe umekoment kwa hasira sana,nafikiri huu ndio ule wakati uliotajwa kwenye vitabu vya dini
Kusagana ni kama kupiga nyeto tu cjui wanapenda nn watoto wakike wengine. Mnaacha wanaume wanakaa na vipururu vyao mnageana nyinyi kwa nyinyi viKe vyenu hata haipendezi.
mmmmm! Sizani kama ni mbaya kiivo labda kwa walio serious? Binafsi wateja wangu wengi wanawake so mara kibao kukumbushia den au kuwajulisha mzigo natumia sana " my dia.... Tena sana. Hata marafiki zangu wa ukweli natumia my dia so sion kama kuna sheeeda
so na anaetumia honey baby swthat sion baya kama hakuna la nyongeza.