Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
dada zetu mmezidi kufanya mambo haya hadharani tena istagram inawapoteza mnapiga picha mmekumbatiana kimahaba huku mnakiss,sijui mnaifundisha nini upcoming generation,kasi ya wanaume si sawa na wanawake,dar nyumbani nawaelewa huko kukiss hadharan ni kama fasion,hapa mombasa pia ni afadhali ya dar. sijui nimwambie dougiemaster anisaidie kufikisha ujumbe
Wanaofanya hivyo waache inapoteza utu wao. Na ni dhambi