Kinadada piteni hapa turekebishane

Kinadada piteni hapa turekebishane

wadau wako busy na mahaba

ila haka katabia kuna wengine wakiitana hivyo naona sawa tu ila wengine mmm inaonekana kabisa anaiga tu asivyovijua ... wadada wanapenda sana kigana ni sawa na lile pozi lao la kipiga picha huku kainua mguu mmoja wengine wala haliwapendezi.
 
Hivi falcon kumbe mdada mwenzangu.. Karucee my dear nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
umeonaee my.

Tena wao wanaitana kiajabu unaweza kupasuka ngoma za masikioni ukisikia.

watuache sie tuitane kimahaba kwa raha zetu.

ni kweli tunaitana majina ya ajabu lakini tunapendana, utaskia we boya uko wapi ? njoo maskani nikupe ofa ya bia maskini mkubwa we, lakini nyiee mmmmh , , , , ,
 
ila haka katabia kuna wengine wakiitana hivyo naona sawa tu ila wengine mmm inaonekana kabisa anaiga tu asivyovijua ... wadada wanapenda sana kigana ni sawa na lile pozi lao la kipiga picha huku kainua mguu mmoja wengine wala haliwapendezi.

hao wanaoiga wapo wengi,wakija kuamka its too late
 
ni kweli tunaitana majina ya ajabu lakini tunapendana, utaskia we boya uko wapi ? njoo maskani nikupe ofa ya bia maskini mkubwa we, lakini nyiee mmmmh , , , , ,

Ha haaa
 
Attachments

  • 1433795874977.jpg
    1433795874977.jpg
    7.9 KB · Views: 371
Back
Top Bottom