Kabisa, hofu ya ccm ni wapiga kura kuwa wachache, maana ile siri ya kuwa ina wapiga kura wachache , na huwa wanaiba za wengine itafahamika. Hawana hofu nyingine maana nguzo yao kuu ambayo ni vyombo vya dola viko upande wao, na tume ya uchaguzi inatii watakacho.Hoja wanayo, nimeongelea Wasiwasi wa ccm kwa hoja ya CHADEMA. Ikifanikiwa wataiba nini?
Kweli they don't care maana wanachojali ni vyeo, lakini wanakaribisha hatari ya mapinduzi, hasa ya kijeshi kwani wataona hata walioko madarakani hawana uhalali wa umma.THey dont care
Hahahahaaha?
Mtaanzosha threads hata bilioni Moja Hadi uchaguzi ufike mkiongea yaleyale lakini Iko hivi;
Uchaguzi utafanyika, kwa amani na mama Samia ushindi wa 98%+ unamsubiri.
Hatapata hizo kura, bali watatangazwa washindi kwa kura hizo. Chaguzo zote zilizifanyika chini ya utawala wa Magufuli zilikithiri kwenye upikaji wa idadi ya wapiga kura, na kansa ile naona imebebwa na utawala huu wa Samia.wakipiga kura watu 10 bado atapata kura milioni 70
Huyo lissu wako ndo hapati hizo, lkn Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, anapiga si chini ya 98%View attachment 3294582
Kwa mfumo huu hata 100% kinyume chake hata 30% hapati.
Mnajiona mna akili kabisa mnavyoandika ufedhuli wenu mnaofanyaga ili kuharibu haki za wananchi kupiga kura.Usiposhiriki NCCR,TLP ACT na wengine wakishiriki na kupata viti 20 unafikiri CCM inaona kuna shida yoyote.
CCM inaweza kuamua kuwaachia viti 30 kwa makubaliano maalum, wapate ruzuku kiasi flani, wawe viongozi wa kamati waseme uchaguzi ulikuwa wa wazi, huru na wa haki unafikiri Chadema haitapata sauti ikiwa nje ya mchakato wote na nje ya bunge.
Hata kama CDM haitapata Urais, itaibiwa wabunge wengi, bado itapata kura kwa mamilioni, 3- 5milioni. Hiyo ni nguvu tosha kuliko kuwa na zero,nil, sifuri. Kisha hukushiriki.
Nakwambia tena bila ya huu ujinga ccm hawanaloloteHuyo lissu wako ndo hapati hizo, lkn Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, anapiga si chini ya 98%
huu ni wizi kama wizi mwingineHatapata hizo kura, bali watatangazwa washindi kwa kura hizo. Chaguzo zote zilizifanyika chini ya utawala wa Magufuli zilikithiri kwenye upikaji wa idadi ya wapiga kura, na kansa ile naona imebebwa na utawala huu wa Samia.
Kwenye nchi nyingi za Kidemokrasia wapiga kura wachache ndio hujitokeza kupiga kura na ndio maana hakuna kipengele cha kusema wapiga kura wakiwa wachache basi huo uchaguzi sio huru na haki.CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku.
Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Hizi tambo za CCM ni kwa sababu wanapojitokeza wana Chadema kwa wingi kwa nia ya kuitoa CCM madarakani, wao wanutumia mwanya huo kuchakachua kura za CHADEMA na kuwa za CCM na za CCM kuwa za CHADEMA.
Binafsi naona CHADEMA wakaze kabisa na wasiseme zile kauli tata, kama "Hatutasusia uchaguzi bali tutaamasisha watu wasiende kupiga kura" badala yake waseme "Hatutashiriki Uchaguzi kama hakuna mabadiriko ya sheria na taratibu za uchaguzi".
Si kweli maana wapiga kura walikuwa wengi siku ya nyuma, ila sasa hawapo wengi maana hawako tayari tena kupoteza muda wao kwenye mistari ya kura kisha, ccm wajitangaze washindi wakati hawawapi kura. Mara nyingi hali hii ya kutoheshimiwa kwa box la kura hupelekea machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi.Kwenye nchi nyingi za Kidemokrasia wapiga kura wachache ndio hujitokeza kupiga kura na ndio maana hakuna kipengele cha kusema wapiga kura wakiwa wachache basi huo uchaguzi sio huru na haki.
Binafsi, naomba sana Chadema wasuse kabisa kupiga kura na wafuasi wao poa wasuse ili Uchaguzi Mkuu uende vizuri!
Kuna vyama matawi ya ccm yatatoa legitimacy ya uchaguzi maana wataingia kwenye uchaguzi.....Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Turn out ya wapiga kura wa Marekani mwaka jana ilikuwa chini ya 65%. Tena ilikuwa chini zaidi ya miaka minne iliyopita kwani ilikuwa asilimia 66%. Hapo unasemaje?Si kweli maana wapiga kura walikuwa wengi siku ya nyuma, ila sasa hawapo wengi maana hawako tayari tena kupoteza muda wao kwenye mistari ya kura kisha, ccm wajitangaze washindi wakati hawawapi kura. Mara nyingi hali hii ya kutoheshimiwa kwa box la kura hupelekea machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi.
Kwa miaka mingi wananchi wamekuwa hawapigi kura kwa sababu hawaoni umuhumu ikiwa mshindi anajulikana ni wa kuchonga. Kimsingi tuliwachelewesha wananchi kwenye hili.Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Miaka mingine huwa inakuwa % ngapi? Na huko wako idadi hiyo maana hawana imani na uchaguzi?Turn out ya wapiga kura wa Marekani mwaka jana ilikuwa chini ya 65%. Tena ilikuwa chini zaidi ya miaka minne iliyopita kwani ilikuwa asilimia 66%. Hapo unasemaje?
analysis yako sijui umekaa unachapa uzi eneo gan au upo under influence ya kinywaj gan to say least. Ccm ina wanachama hai milion 25. wenye kad.bado wapenz washabiki. sasa unaposema watakosa kura unamaanisha nini?
Ahahahahaha! Kwetu sisi mwaka 2020 wapiga kura walikuwa milioni 15 na pointi sawa na asilimia 50.72% ya waliojiandikisha. Marekani asilimia 65%. Kwa wewe mwenye akili nyingi, Uchaguzi wa Marekani ni wa kidemokrasia, lakini Tanzania sio eti? Ahahahahaha!!Miaka mingine huwa inakuwa % ngapi? Na huko wako idadi hiyo maana hawana imani na uchaguzi?
2020 hawakufika hata wapiga kura 10m, ama unadhani kila mtu anaamini taarifa za kupika?Ahahahahaha! Kwetu sisi mwaka 2020 wapiga kura walikuwa milioni 15 na pointi sawa na asilimia 50.72% ya waliojiandikisha. Marekani asilimia 65%. Kwa wewe mwenye akili nyingi, Uchaguzi wa Marekani ni wa kidemokrasia, lakini Tanzania sio eti? Ahahahahaha!!
Kama huamini za kupika, tuamini za kwako za kukaanga? Ahahahahaha!!2020 hawakufika hata wapiga kura 10m, ama unadhani kila mtu anaamini taarifa za kupika?