Kinachowasibu jumuia ya jumuiki na uamsho ni kuwachania viongozi wa smz ukwel. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachowasibu jumuia ya jumuiki na uamsho ni kuwachania viongozi wa smz ukwel.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Oct 28, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1]Video: UAMSHO ni mwiba wa mchongoma kwa utawala wa serekali ya CCM[/h]Written by administrator // 28/10/2012 // Vidio // 6 Comments


  BONYEZA VIDIO
  Angalieni video hii kufahamu chanzo cha Sheikh Farid kuchukuliwa mateka!  [h=4]Related Posts[/h][h=3]VIDEO – KILA MWENYE KWAO ATAKUJUWA – UVCCM[/h]
  [h=3]VIDEO – MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA KATIBA; 5[/h]
  [h=3]VIDEO – MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA KATIBA; 2[/h]


  [h=3]VIDEO – MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA KATIBA; 4[/h]
  [h=3]VIDEO- MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA MAREKEBISHO YA KATIBA; 3[/h]
   
 2. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM INAHITAJI LAANA NA SIO BARAKA KUTOKA KWA MUNGU.

  Hivi juzu katika Baraza la Kusali Eid mulimsikia Rais wetu Alhaji Dr Ali Mohammed Shein alivyojifanya Chuwi mwenye kuvaa ngozi ya Kondoo?.
  Shein alijifanya ni mtu mwenye kuitakia mema Zanzibar na Watu wake, kumbe vile ni aduwi hata wa uislamu na Waislamu alichokifanya Mara hii Mh huyu ni kufuru kubwa na sizani kuwa M/mungu atamuasha ibakie kuwa M/mungu hana haraka .
  Mh Shein kama Rais wa wananchi wa Zanzibar %99 na kiongozi mkuu alilibariki Jeshi la Polisi kwa kuwapongeza kwa kazi yao mzuri walioifanya na kusema uvumilivu basi tena na hatowavumilia yoyote yule atakaye sababisha fujo na vidole vingi alivielekeza kwa Jumuia ya Uamsho na wafuasi wake.
  Mimi siendi huko deep sana lakini nanukuu tu kwa ufupi , Jeshi la Polisi hapa kwetu Zanzibar ndio aduwi namba 1 na hufanya kazi zao kwa utashi wa chama na maelekezo ya watu Fulani na Fulani, lakini sio Jeshi adilifu la watoto wetu wenye kuheshimu misingi ya uadilifu na haki.
  Kwa njia yoyote ile Mh Shein kama Kiongozi mkuu wan nchi hii hakutakikana alisifu Jeshi hili kwa uovu wao walio ufanya kwa Jamii na Hususani jambo baya zaidi na Kufuru kubwa waliofanya ni Pale Jeshi lake Kuzipachua Bendera za zenye Jina la M/mungu (LAAILH KHAILLALLAH) na Badae kupachika Bendera Za ccm eti nikuwalani Jumuia ya Uamsho.
  Hii ni laana moja kubwa na kufuru kubwa mbele ya M/mungu, jee leo tujiulize waislamu wa Zanzibar ? Bendera ya ccm nibora kulikoni Jina la Allah?. Na sihivyo tu kuwa imetosha walianza kuzikanyaga na kuzichana.
  Hii ni kufuru kubwa hapa visiwani petu na hujinata kuwa wakazi wake %99 ni waislamu wa jadi hii huu kweli ndio uislamu au ukafiri wakufurudu mipaka.
  Jee Mh Shein hufahamu kuwa Bwana Mtume (S.A.W) aliamrishwa na M/mungu kupigana vita ili kusimamicha jina la Allah katika Ardhi yake Tukufu? Wewe Shein unalipinga jina la M/mungu kwa kutumia vikosi vyako vya Jeshi la Polisi na Suna za Bwana Mtume (s.a.w) kuwanyowa Ndevu masheik ulowaweka kizuwizini na Rehma zote hizo alokupa Allah ya Kuingiza punzi ndani na kuzitowa nje.
  Mh Mwisho wa fadhila zote hizo alokupa Allah unamzarau na kuzizarau fadhila zake na suna za Rasulullah ? Ama madaraka yanalevya na wewe na kundi lako nikatika waja walokula hasara.
  Sisi Wazanzibar nguvu zetu zote na juhudi zetu zote tunamuachia Allah na yeye kwahapa tulipofika ndie mwenye kutufungulia njia ya Heri na wewe na Serekali yako zalimu tunamshtakia Allah kwa tua tunazo zituma kwake kama maombi kwetu mpele yake.
  Yeye yupo na ataendelea kuwepo milele hana haraka wala Papara katika mambo yake , sisi binadamu ndio tuna haraka kwa vile ni waja wakupita tu, tunacho sisitizwa waislamu nikuwa wastahamilivu na wenye subra.
  Sifa moja ya Muislamu ni kutokukata tama au kuvunjika moyo sisi Bado tuko pamoja na wewe Allah na tutaendelea kusubiri na kuwa na subra.
  M/mungu ibariki Zanzibar na waislamu wote ulimwenguni na utuepushe na hadhabu zako Yarabi nchi wanaipeleka pabaya ccm.
   
 3. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Duh!hamna mchangiaji au na nyie mnaona uvivu kuangalia ma clip kama mie?
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ya wazanzibar hiii....mimi kwa kweli sijui kitu so far
   
 5. Indian

  Indian JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 749
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 180
  Mbona watanganyika mumekaa kimya hapa, na nyinyi munaogopa kusema hamtaki muungano
   
 6. M

  Msajili Senior Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naona Pumba tu..
   
Loading...