Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
1,447
Reaction score
630
KINACHOWACHELEWESHA Muunganiko wa Vyama vikuu vya Upinzani vinavyounda ukawa, kutaja Mgombea wa Urais imebainika, Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.

Afisa Habari wa Chadema Tumain Makene amesema sababu hiyo taarifa Majimbo mapya yaliotangazwa jana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC.

“Watanzania wasiwe na wasi kinachowachelesha ni Viongozi wa Ukawa ni mgawanyo wa Majimbo mapya ya uchaguzi yalioatangazwa jana na tume ya uchaguzi ndio hayo yanayojadiliwa na kuchelewesha kumalizika kwa kikao”

Makene ameongeza kuwa , "kwa sasa Viongozi wa Ukawa wameingia kwenye mapumziko ikiwemo kupata Futali,ila baada ya Hapo Kikao hicho kitaendelea".

Vilelevile Afisa Habari huyo amewataka wana chama wa Vyama vinavyounda Ukawa Ikiwemo Chadema,CUF,Nccr Mgaeuzi pamoja na NLD wazipuuze taarifa zinaonea mitandaooni kwamba umoja huo umemeguka na kusema kwa sasa kikao hicho kinaendlea vizuri.

Katika Hoteli moja hapa Jijini Dar es Salaam ambapo Vikao hivyo vya Ukawa vinafanyika alishuhudia Viongozi mbali mbali wa vyama vya Vitatu ambavyo ni NLD,Chadema pamoja na Nccr-Mageuzi, CUF walipata Chai ya jioni huku wakioneka wapo pamoja.
 
Mbona size hapa tupo 35 na tu naelekea tu kimya kikuu kina mshindo?? Tunawatakia kikao chema.
 
Yaani hii nchi cjui nani kailoga na watu wake
Yaani tumesha sahau
ESCROW
EPA
RICHMOND
KAGODA
BUZWAGI
MEREMETA
TEMBO KUUAWA
TWIGA KUPANDA NDEGE
MISAMAHA YA MADINI
MISWADA YA HOVYO YA GESI NA MAFUTA
KUPANDISHWA HOVYO BEI YA MAFUTA
WATOTO KUKAA CHINI
AKINA MAMA KUZALIA CHINI
MATAJIRI KUTHAMINIWA
UBOVU WA BARABARA
UBOVU WA RELLI
UHABA WA MAJI SAFI NA SALAMA
KUUZWA BENKI YA TAIFA
KUUZWA KWA SHIRIKA LA NDEGE
KUUZWA KWA NYUMBA ZA TAIFA
KIWIRA COAL MINE
UKOSEFU WA DAWA HOSPITALI ZA UMMA
KUSHUKA KWA ELIMU
MIGOMO YA WAALIMU NA MADAKTARI
MIGOMO YA WANAFUNZI
MIGOGORO YA ARDHI KUTOKANA NA SERIKALI
KUWATHAMINI WAWEKEZAJI WA KIGENI
KUHODHI VIWANJA VYA MICHEZO
KUHODHI MAJJENGO YA UMMA
KULINDA WEZI, MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI
KUUA VIWANDA ALIVYO VIJENGA MWALIMU
NYERERE
KUUA MASHIRIKA YA UMMA
KUONGEZA MATABAKA KWA WANANCHI
KUUA WANAHARAKATI NA WAANDISHI WA HABARI
( MWANGOSI)
KUPITISHA RASIMU ISIO YA MUAFAKA
ILIYO
FEKI
HIvyo basi,
nashangazwa na watu waelewa humu wanaosema
magufuli jembe
Wakati yupo serikalini tangu 1995
Ndani ya ccm
Nani ametuloga ??
Hapa magufuli ni pombe ile ile kwenye chupa
mpya.
Maskini Tz
Au elimu ya uraia tatizo ???
 
Mbona kama wanaiga CCM.....Mara futari mara nini sijui.....hayo majimbo 26 wangewapa CUF, NLD na NCCR mambo yaishe
 
Ma ccm wanatunyanyasa na kututambia sana magufuli fanyeni hima.
 
Hebu wacheni mzaha na vikao vya maamuzi yenye maslahi ya watu. Ingekua wewe huo uongoz unakuhusu ungekurupuka kufanya maamuzi? waachieni muda ukifika watasema nani kakatwa na nani anawawakilisha wenzake.
 
Wa Tanzania walilogwa kwa kuondolewa kwenye lugha ya kiingereza na kuletewa kiswahili lugha ya wanywa kahawa. Zunguka sehemu zote za east Africa utaona sehemu zote wanako mudu kiswahili pana shida kwa Kenya ni Mombasa, Burundi Bujumbura shida, Congo yale yale. Lugha ya wasiyo elewa.
 
mbinu gani za kisiasa mizee hilehile miaka nenda rudi wanazunguka tu hawana jipya hata wange kaa mwaka mzima,
 
Kwanza hata wakimtangaza hana athari kwakuwa tingatinga lipo limesubiri tar 25 oct liende ikulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom