Raphael Kanunha
Member
- Apr 24, 2013
- 30
- 2
Poleni wana Iringa lakn ndo matokeo ya kusaka haki na msifikirie haki inatoka kama chenchi.
Mbona huyo Yesu alipindua meza za wafanyabishara na kuzitupa bidhaa zao ama wewe hulijui hilo? wacha chuki binafsi wewe!Majjid,ubarikiwe,hakika chadema shetani anawatumia kuliangamiza taifa,wewe unayejiita mchungaji hebu Nijibu ni lini Huyu Yesu unedai kumtumikia alikua akihamasisha umma kupinga utawala na kuleta machafuko,wewe ni ajenti wa kuzimu,unatimiza unabii mkuu wa Mungu wa siku za mwisho,wewe ni mtumishi wa dunia hii sio wa ulimwengu ujao,acha kutumia jina la Yesu kwa tumbo lako,shetani amewakamata mmeamua kuliangamiza taifa letu,na sisi hatutawaacha ,the current state of our dear nation is fast filling up its cup of iniquity throug CHADEMA,violence and crime of political gain are filling our nation,and Satan is using Mchungaji msigwa to torn apart this innocent Nation.
The youth who walk the streets are surrounded with handbills and noice of crime and sin,their mind are educated to misbehave and crime,hatred and sin against the government,ole wenu chadema mnaodhani Mungu anazibariki kazi hizi za Ibilisi.
Mungu lete utulivu watu Wako tumalize kazi,Yesu urudi kulichukua kanisa lako,Amen
Acha upuuzi wako wa kulinajisi jina la aliye Mkuu wa yote na vyote ili kuwafurahisha wadhalimu wanaokulipa elfu saba saba kwa kila response kwa threads za kuutetea udhalimu wao (CCM).Majjid,ubarikiwe,hakika chadema shetani anawatumia kuliangamiza taifa,wewe unayejiita mchungaji hebu Nijibu ni lini Huyu Yesu unedai kumtumikia alikua akihamasisha umma kupinga utawala na kuleta machafuko,wewe ni ajenti wa kuzimu,unatimiza unabii mkuu wa Mungu wa siku za mwisho,wewe ni mtumishi wa dunia hii sio wa ulimwengu ujao,acha kutumia jina la Yesu kwa tumbo lako,shetani amewakamata mmeamua kuliangamiza taifa letu,na sisi hatutawaacha ,the current state of our dear nation is fast filling up its cup of iniquity throug CHADEMA,violence and crime of political gain are filling our nation,and Satan is using Mchungaji msigwa to torn apart this innocent Nation.
The youth who walk the streets are surrounded with handbills and noice of crime and sin,their mind are educated to misbehave and crime,hatred and sin against the government,ole wenu chadema mnaodhani Mungu anazibariki kazi hizi za Ibilisi.
Mungu lete utulivu watu Wako tumalize kazi,Yesu urudi kulichukua kanisa lako,Amen
Heshima kwako Kiongozi!
Kwanza naamini tangu siku ile ulipoitwa kuhojiwa kuhusu suala la Ugaidi na Ludovick umesha kuwa muoga na serikali hii. Vile vile ninaona hoja zako katika mabandiko mbali mbali zimekuwa za ki- muegemeo kwenye serikali.
Kiongozi! Nina hofu huenda ndio zile mbio za kuminywa uhuru wa habari zimekutembelea kwa kunyooshewa kidole, au?!
Kiongozi!
Hivi kweli inaingia akilini kusema kwamba Mh. Mch Msigwa awashauri machinga kutii amri ya kuto kufanya shughuli zao huku akijikita kwenye mazungumzo ya namna ya kuondokana na ufanyaji shughuli zao kwenye eneo la Mashine Tatu? Unataka kuniambia kwamba suala hili ni la jana au leo asubuhi? Mbona lina muda mrefu na hakuna suluhu yoyote iliyo patikana kupitia serikali kama si Halmashauri ya Iringa?
Kipi kinge stahili kuanza kati ya kutafuta eneo jipya la kufanyia shughuli za wamachinga kabla au kuwaondoa kwanza? Na wakiondoka kwanza kabla ya kujua hatima yao, je, kipato chao cha kila siku walicho kuwa wanakitegemea watakipatia wapi. Je, tegemezi wao ikiwa ni pamija na watoto wanao hitaji kugharimiwa shuleni watakuwa kwenye hali gani?
Ukizingatia kwamba hata hiyo serikali inayo wafukuza hao wamachinga,tayari ilisha wasusa watoto wetu huko mashuleni kwa kuambulia viwango vya Division 0.
Kwa serikali hii ambayo wakubwa wakivunja sheria wanaongezewa kama sio kupandishwa vyeo, ifike mahali kila tunacho dai, tukidai kwa nguvu maana wanyonge wanaonekana kukosa haki, huku wakubwa wakivunja sheria na kutunukiwa nishani na kuzidi kusifiwa.
Ukweli ndio utarudisha heshima ya nchi hii ambayo tayari imesha potea kwenye macho ya dunia ya leo.
KIONGOZI!
TUFIKE MAHALI KWA UMOJA WETU TUKIRI KWAMBA SERIKALI YETU IMEFIKIA KIWANGO CHA KUTO KUWAJALI WANANCHI WAKE. VIONGOZI WENYE MAAMUZI KATIKA NCHI HII WANAJALI MASLAHI YAO TU!!!!!
Pole kama nimekukwaza Kiongozi!
...Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma magazeti, ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
...Nilichokiona ni vurugu kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
..Niliziona Daladala zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria..,
..Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile hakutakuwa na biashara nzuri...
Maggid, nadhani ingekuwa vyema kama ungeclarify kosa la mbunge Msigwa ni nini haswa? Kupingana kimawazo sio kosa ni demokrasia. Pia nashindwa kuelewa kwa nini unamlaumu Msigwa wakati polisi ndio waliokuwa wakirusha mabomu? Je ni sahihi kwa polisi kutumia unnecessary force? Nadhani article yako hiko biase!
mpumbafuuuuuuuuMajjid,ubarikiwe,hakika chadema shetani anawatumia kuliangamiza taifa,wewe unayejiita mchungaji hebu Nijibu ni lini Huyu Yesu unedai kumtumikia alikua akihamasisha umma kupinga utawala na kuleta machafuko,wewe ni ajenti wa kuzimu,unatimiza unabii mkuu wa Mungu wa siku za mwisho,wewe ni mtumishi wa dunia hii sio wa ulimwengu ujao,acha kutumia jina la Yesu kwa tumbo lako,shetani amewakamata mmeamua kuliangamiza taifa letu,na sisi hatutawaacha ,the current state of our dear nation is fast filling up its cup of iniquity throug CHADEMA,violence and crime of political gain are filling our nation,and Satan is using Mchungaji msigwa to torn apart this innocent Nation.
The youth who walk the streets are surrounded with handbills and noice of crime and sin,their mind are educated to misbehave and crime,hatred and sin against the government,ole wenu chadema mnaodhani Mungu anazibariki kazi hizi za Ibilisi.
Mungu lete utulivu watu Wako tumalize kazi,Yesu urudi kulichukua kanisa lako,Amen
Ndugu zangu,
Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua magazeti.
Hali ilikuwa shwari kama ilivyo kawaida ya Iringa Jumapili asubuhi. Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma magazeti, ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
Nikiwa na kamera yangu nikajisogeza hadi katikati ya mji kufahamu zaidi kinachotokea. Nilichokiona ni vurugu kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
Tatizo?
Ni dogo sana, lakini linakuzwa kwa vile siasa imepelekwa mbele badala ya kutanguliza hekima na busara. Kwa kufuatilia suala la Wamachinga kufanya biashara eneo la barabarani pale Mashine tatu naamini kabisa, kuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa angeweza kuepusha hali inayoendelea sasa kwa kuwasihi Wamachinga watii kwanza amri ya Manispaa, na yeye, kama Mbunge wao, kujiingiza kwenye mazungumzo ya dhati na wenzake kwenye Halamshauri ya Manispaa ya Iringa katika kutafuta ufumbuzi wa suala hili. Na hiyo ndio siasa. Siasa ina maana ya majidiliano endelevu badala ya kuhamasisha matumizi ya nguvu au vurugu pale milango ya majadiliano ingali wazi.
Kinachotokea Iringa kwa sasa ni doa kubwa kwa mji wetu wenye sifa ya muda mrefu ya utulivu. Kina athari kubwa kiuchumi pia. Pale Iringa mjini nilichokiona leo ni kama mji ulio katika mapigano ya kivita. Watu ni wachache na wenye hofu.
Biashara nyingi zimesimama. Niliziona Daladala zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria, watoke wapi? Wakati kwa sasa walio nje ya mji wameambiwa na jamaa zao walio katikati ya mji kuwa wasijaribu kufika mjini, kwamba hali imechafuka.
Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile hakutakuwa na biashara nzuri. Je, ni wafanyabiashara wangapi watakaoathirika na hali hii ya leo?
Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona Mchungaji Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
Mchungaji Msigwa ni rafiki yangu, muda mfupi uliopita nimempigia simu. Imeita bila majibu. Mmoja wa watu wake wa karibu ameniambia yuko kwenye Harambee pale Tumaini University.
Kama Mchungaji Msigwa angejibu simu yangu, basi, ningemwambia haya ninayoyaandika hapa.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
0754 678 252
MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
Haya ndiyo matatizo ya kutaka kusikia kile unachokipenda. Nchii hii bila kutumia busara, itaingia kwenye machafuko. Kutafuta umaarufu kwa njia za mkato kama hizi za kina Msigwa, si mambo ya fahari. Lowassa hasafishwi, isipokuwa ukweli ndiyo unaomsafisha. Swali aliloumwuliza Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma ndani ya NEC, la kwamba kipi kakukijua kwenye Richmond, mbona halijajibiwa? Alipotaka Richmond ifutwe, Mwenyekiti akakataa kwa kigezo cha kuheshimu maoni ya makatibu wakuu, nini kilifuata? Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Tunapohoji makosa ya Lowassa na wengine, lazima ninyi mlioshupaa mje na vilelezo na ushahidi wa kuturidhisha. Haiwezekani mtu mmoja aibuke leo aseme wewe mleta mada ni shoga, halafu sote tuamini hivyo! Haiwezekani.
tatizo watanzania wengi hawajazoea kudai haki zao kwa nguvu, kisa ni kisingizio cha amani na utulivu! Tatizo la sasa la tanzania na si iringa tu, watanzania hawakuzoea kutafuta haki zao, bali wamezoea kuwaachia viongozi wawaburuze! Itachukua muda kuzoea hali hii!Ndugu zangu,
Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua magazeti.
Hali ilikuwa shwari kama ilivyo kawaida ya Iringa Jumapili asubuhi. Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma magazeti, ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
Nikiwa na kamera yangu nikajisogeza hadi katikati ya mji kufahamu zaidi kinachotokea. Nilichokiona ni vurugu kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
Tatizo?
Ni dogo sana, lakini linakuzwa kwa vile siasa imepelekwa mbele badala ya kutanguliza hekima na busara. Kwa kufuatilia suala la Wamachinga kufanya biashara eneo la barabarani pale Mashine tatu naamini kabisa, kuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa angeweza kuepusha hali inayoendelea sasa kwa kuwasihi Wamachinga watii kwanza amri ya Manispaa, na yeye, kama Mbunge wao, kujiingiza kwenye mazungumzo ya dhati na wenzake kwenye Halamshauri ya Manispaa ya Iringa katika kutafuta ufumbuzi wa suala hili. Na hiyo ndio siasa. Siasa ina maana ya majidiliano endelevu badala ya kuhamasisha matumizi ya nguvu au vurugu pale milango ya majadiliano ingali wazi.
Kinachotokea Iringa kwa sasa ni doa kubwa kwa mji wetu wenye sifa ya muda mrefu ya utulivu. Kina athari kubwa kiuchumi pia. Pale Iringa mjini nilichokiona leo ni kama mji ulio katika mapigano ya kivita. Watu ni wachache na wenye hofu.
Biashara nyingi zimesimama. Niliziona Daladala zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria, watoke wapi? Wakati kwa sasa walio nje ya mji wameambiwa na jamaa zao walio katikati ya mji kuwa wasijaribu kufika mjini, kwamba hali imechafuka.
Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile hakutakuwa na biashara nzuri. Je, ni wafanyabiashara wangapi watakaoathirika na hali hii ya leo?
Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona Mchungaji Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
Mchungaji Msigwa ni rafiki yangu, muda mfupi uliopita nimempigia simu. Imeita bila majibu. Mmoja wa watu wake wa karibu ameniambia yuko kwenye Harambee pale Tumaini University.
Kama Mchungaji Msigwa angejibu simu yangu, basi, ningemwambia haya ninayoyaandika hapa.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
0754 678 252
MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
Maggid tunakushukuru kwa kutia neno ambalo limebebwa na uliyoyaona kwa macho yako na kutafakari kwa hekima na busara zako kama ulivyobainisha hapa.
Huyu Mh. Msigwa hata ukimuona bungeni, ni mtu ambaye ana hulka ya fuata upepo. Kila mara Mbunge wa upinzani akianza kurumbana au kuzomea, huwa hapitwi, lazima tu na yeye ataungana naye.
Kwa sasa ameanza kufuata nyendo za Mh. Lema wakati huo huo akijibainisha ni mchungaji aliyeusomea uchungaji wa dini ambayo MSINGI wake ni MAPENDO. Hata Kardinali Pengo alisema maneno haya wakati wa Mazishi ya wahanga wa bomu Arusha, "Mimi nawaambia "Tujifunze kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo: 'Tusidiriki kulipia uovu kwa uovu, lakini tutende mema ili kushinda uovu'.". Hii ni sentensi fupi, lakini imebeba UJUMBE MZITO kwa watu waliobarikiwa hekima na busara. Mh. Msigwa amuamua kutenda the other way around.
Kama ni uovu, kuna msusuru wa wanasiasa waliofanyiwa ouvu hapa duniani, lakini kwao NGUVU ZA HOJA NA MAPENDO ndizo ziliushinda huo uovu.
Polisi nao lazima wabebe lawama katika hili kwa kutokutumia busara katika utendaji wao. Kwani haya mabomu lazima yafanye kazi zake tu?. Inakuwa kama polisi siku hizi, wanafanya majaribio ya vifaa vyao vya dola kwa wananchi hata kwa mambo ambayo yanahitaji kumalizwa kwa maongezi (Peaceful).
Nani kwa sasa anaye athirika?. Watu wanapigwa mabomu, yeye yuko kwenye HARAMBEE na chupa ya maji ya kunywa juu ya meza.
Hizi ndizo siasa zetu zisizokuwa na sheria.
Tatizo Msingwa anaiga tabia ya Lema, lakini inabidi ajue kuwa hulka ya mnyalukolo ni tofauti kabisa na hulka ya chalii.
Hizi zote ni harakati za Msigwa kujaribu kujisafisha jina lake baada ya kujidhalilisha kwa hotuba mbovu aliyotoa. Kama hotuba kashatoa, maji yameshamwagika, ajitahidi tu next time atoe hotuba yenye mashiko.
Maggid, poleni sana hapo. tafadhli jitahidi kumtafuta Msigwa muongee, afanye siasa za kujenga nchi. Naona katuma vijana wake waje kusema kashikwa na polisi kumbe yuko kwenye Harambee!!!
Ndugu zangu,
Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua magazeti.
Hali ilikuwa shwari kama ilivyo kawaida ya Iringa Jumapili asubuhi. Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma magazeti, ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
Nikiwa na kamera yangu nikajisogeza hadi katikati ya mji kufahamu zaidi kinachotokea. Nilichokiona ni vurugu kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
Tatizo?
Ni dogo sana, lakini linakuzwa kwa vile siasa imepelekwa mbele badala ya kutanguliza hekima na busara. Kwa kufuatilia suala la Wamachinga kufanya biashara eneo la barabarani pale Mashine tatu naamini kabisa, kuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa angeweza kuepusha hali inayoendelea sasa kwa kuwasihi Wamachinga watii kwanza amri ya Manispaa, na yeye, kama Mbunge wao, kujiingiza kwenye mazungumzo ya dhati na wenzake kwenye Halamshauri ya Manispaa ya Iringa katika kutafuta ufumbuzi wa suala hili. Na hiyo ndio siasa. Siasa ina maana ya majidiliano endelevu badala ya kuhamasisha matumizi ya nguvu au vurugu pale milango ya majadiliano ingali wazi.
Kinachotokea Iringa kwa sasa ni doa kubwa kwa mji wetu wenye sifa ya muda mrefu ya utulivu. Kina athari kubwa kiuchumi pia. Pale Iringa mjini nilichokiona leo ni kama mji ulio katika mapigano ya kivita. Watu ni wachache na wenye hofu.
Biashara nyingi zimesimama. Niliziona Daladala zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria, watoke wapi? Wakati kwa sasa walio nje ya mji wameambiwa na jamaa zao walio katikati ya mji kuwa wasijaribu kufika mjini, kwamba hali imechafuka.
Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile hakutakuwa na biashara nzuri. Je, ni wafanyabiashara wangapi watakaoathirika na hali hii ya leo?
Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona Mchungaji Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
Mchungaji Msigwa ni rafiki yangu, muda mfupi uliopita nimempigia simu. Imeita bila majibu. Mmoja wa watu wake wa karibu ameniambia yuko kwenye Harambee pale Tumaini University.
Kama Mchungaji Msigwa angejibu simu yangu, basi, ningemwambia haya ninayoyaandika hapa.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
0754 678 252
MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
Na mimi naungana na hoja za watu wanaotofautiana na tafsiri yako isiyo sahihi. Tafasiri yako ni one way traffic (ni ya kuegemea upande mmoja) bila ya kuangalia upande wa pili. Upande wa pili ambao haujauangalia ni juu ya maamuzi ya zima moto yanayofanywa na viongozi wetu wawe wa halmashauri, serikali kuu au vyombo vyetu vya dola. Kwanza kabisa ni good practice kuwashirikisha wadau katika kupanga juu ya mambo yanayowagusa- kwa swala hil halmashauri ilipaswa iwashirikishe wamachinga katika kuwaondoa siyo kutoa amri, amri inayowaona kana kwamba wamachinga ni watoto au ni wajinga wasio na uwezo wa kufikiri au kutoa michango ya mawazo. Km wahusika wangefanya hivyo basi wangeweza kuwaondolea wamachinga wasiwasi wa namna ya kufanya biashara yao au namna watakavyohamia eneo jingine lililotengwa kwa ajili yao, na pia wangepeana muda wa kuhama na kusainishiana. Polisi nao kukutana nao wakaongea ili wananchi wasio na hatia wasisumbuliwe, na hapo wangebandika matangazo kuwa iwapo watakaidi basi wataingilia. Saa nyingine siyo lazima polisi watumie mabomu kila wakati, wanaweza kufika eneo husika na kuwasihi wamachinga waondoke na wali-act tu pale watakaposhambuliwa na si pia kwa kuumiza watu. Nina uhakika kwamba polisi wamepitia mafunzo ya kudhibiti uhalifu pasipo kudhuru au kuumiza raia- hivi huwa hawaoni majeshi ya polisi ya nje ya nchi yanavyodhibiti uhalifu bila mabomu au kuua? Mchungaji msigwa anahaki ya kusimamia maoni na mawazo ya wapiga kura wake yawe sahihi au siyo sahihi kwa mitizamo yetu, lakini yeye kama mwakilishi wa wananchi anayohaki ya kusimamia maslahi ya wapiga kura wake hadi kanuni, taratibu na sheria za kuwaondoa wanachinga zinapozingatiwa na wahusika. Kumbuka serikali yetu ina sera mbaya sana dhidi ya wamachinga achilia mbali maamuzi ya zima moto yasiyopewa nafasi ya kufikiria. Hebu tuangalie wapiga debe wa Dar kipindi walitimuliwa na kuamriwa warudi makwao wakalime? Km serikali yetu ingekuwa na fikra nzuri ingewachukua hao wapiga debe na kuwapeleka katika vyuo vyake vya veta wakasomee ticketing au customer care ili waje waweze kuwahudumia wateja vizuri zaidi au wajipatie ujuzi hata wa kuajiriwa kwa mikataba, lakini serikali iliwatimua tu pasipo kujua wataenda wapi? Matokeo yake wengi wa wapiga debe waliishia kuishi pale jangwani na kigogo na kuwapiga roba (robbery) akina dada wenye vi mikoba au wajasiriamali wanajihimu asubuhi sana kuja kariakoo au mjini kuchukua biashara zao. Kwa hiyo basi ukiangalia tafasiri yako Mjengwa is so short of critical and impartial analysis.Ndugu zangu,