Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

Kwanini policcm/manispaa nao wasiwatake wamachinga kukaa meza moja na kujadili mstakabadi wao kwanza badala ya kuwapiga mabomu?
 
Mi nipo songea nafahamu namna swala hilo lilivyoshughuliiwa na Mh Msigwa hivi Mjengwa umelifuatilia hili. Wandishi wa habari wa TZ mnaandika mnachojisikia na mnachoambiwa na wanaowapa posho hamjishugilishi hata. Jumamosi ya mgomo wa daradara nilikiwapo Iringa madai ya wamili wa daradara yalikia sahihi lakini nilishuhudia polisi waawashawishi madereva wa magari makubwa yaliyopaki stendi yaani mabasi yabebe abilia badala ya kitatua tatizo
Mkuu tatizo no jimbo kuwa chimi ya CDM. Chadema hutoa elimu ya kujitambua wananchi hio ndo tatizo wananchi wakijua haki zao sio lahisi kuwaburuza. Majimbo yaliyo chini ya CCM wananchi hujengewa woga na hivyo wengi hawajui haki zao na huwa hawahoji pia hawa wabunge wa upinzani hukaa majimbonj mwao.
 
maggid uneonesha uoga.. the truth will be revealled no matter wat... nakushauri bora ukae kimya kuliko kuandika habar kama hii
 
Maandishi mengi ya Majjid nilisha achaga kuyasoma, hili leo limetokea tu kwa bahati mbaya, Majjid (samahani kama nitakutafsiri vibaya) amekua mwangalifu sana wa namna yake ya uandishi, lakini hua ninamwona anajitahidi kuandika akijifanya yupo Neutral lakini huyu anti mageuzi sana tu, maandiko yake mengi kwenye Gazeti la Raiamwema n.k. Hivi kwamfano, Mchungaji Msigwa hata akinyimwa Kura say na hao wapiga kura wa hapo Iringa (specifically hao wafanya biashara ya nyama) but akawa alitimiza jukumu lake kwa wafanya biashara ya machinga, kuna shida gani, tusipende kufanya vitu eti unaogopa kunyimwa kura! Niliwahi kukusoma wakati ule umeandika juu ya kifo cha marehemu Mwangosi na mtazamo wa watu wa Nyororo, ukweli nilichoka na wewe, kama mwandishi makini unatakiwa kufanya tathimini makini pia, mbona hili suala la machinga shida ipo kwenye miji inayoongozwa na wabunge wa CDM tu? kuna nini hapo?
 
wanaopenda kuambiwa ni kina nani? kama hampindishi maneno basi ningesema its just the opposite of what you people mean. cdm hawapendi uongo, ukisema uongo lazima watapinga kwa nguvu zote. ila ccm wanapenda sana kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, kupindisha lugha na kusema uongo. na yote hiyo ni kwa sababu wanaona wamefika, hawafikirii tena kitu kingine zaidi ya kutaka ku-maintain position na status.
sisi ambao bado tuna safari ndefu ni lazima tuseme ukweli na kwa hilo watusamehe tu wapenzi wa ccm. kwenye uongo daima progress haipatikani, tafuta reference yoyote unipatie, ya maendeleo yaliyopatikana kwa kusema uongo.
bara la afrika angalieni mfano halisi wa nchi ya rwanda, they are doing good kwa kuwa kagame haishi kwa uongo, the man is realistic kiasi hicho nathubutu kusema.

Unapo mzungumzia Kagame (RPF) huwezi fananisha na CDM au CCM.whether you like or not kazi itafanyika kwa mtutu wa bunduki (Rwanda).Kule hakuna ujinga ujinga (army control).
 
Back
Top Bottom