Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
maggid na Manyerere Jackton kwa ukaribu wenu na Ludovick na kujua mambo yake ya ndani, kumshawishi kufanya uasi CHADEMA; ninyi ni devil's snitch!
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona unajenga hoja kwa hisia?. Unajenga hoja kwa kujiaminisha kama unaifahamu dini yangu na viongozi wangu wa dini.
Kwako mtu yoyote anagusia imani ya dini ya Msigwa katika hali hasi, bali huyo ni yuko against dini ya msigwa. Hizi ni hoja mfu kama siyo za kitoto.
Kwa kukusaidia, mimi ni practising Roman Catholic na hata secondary nimesomea seminary baada ya kuwa mtumikiaji wa artare nikiwa primary school. Kwa hiyo Kardinali Pengo ni kiongozi wangu na ndiyo maana nikatumia maneno yake katika kuweka ujumbe.
Badilisha mtazamo wako na ufahamu siyo wote wanaoponda maamuzi ya Msigwa wanafanya hivyo kwa msukumo wa dini yake. Tatizo kwa sasa nchini la Watanzania wachache kama wewe, fikra zenu kisiasa zimejaa msukumo wa kidini hata kwa mambo ambayo ni PURE POLITICS.
Badilikeni.
Mkuu mbona unajenga hoja kwa hisia?. Unajenga hoja kwa kujiaminisha kama unaifahamu dini yangu na viongozi wangu wa dini.
Kwako mtu yoyote anagusia imani ya dini ya Msigwa katika hali hasi, bali huyo ni yuko against dini ya msigwa. Hizi ni hoja mfu kama siyo za kitoto.
Kukiri kuwa umechemka ni uungwana... IRINGA msigwa hakufanya kosa la kidini.
Article hii ya Maggid imeniumiza sana kwani ni wazi ilikuwa na lengo la kumchafua mbunge Msigwa. Mbaya zaidi, mwandishi ameandika mambo mengi ya kumlaumu Mbunge bila ya kusikiliza hadithi kutoka kwa upande wa mchungaji. Ni lazima waandishi wa habari watambue ya kuwa maandishi yao yana uzito na wakati mwingine yanaweza kuharibu sifa za watu na hata kuathiri matokeo ya kesi.
Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona Mchungaji Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
Ngoja wenyewe waje wasiopenda kuambiwa ukweli na wasiopenda kuoneka wamekosea. Mnyanyii wakikutukana wewe kaa kimya.
majjid,ubarikiwe,hakika chadema shetani anawatumia kuliangamiza taifa,wewe unayejiita mchungaji hebu nijibu ni lini huyu yesu unedai kumtumikia alikua akihamasisha umma kupinga utawala na kuleta machafuko,wewe ni ajenti wa kuzimu,unatimiza unabii mkuu wa mungu wa siku za mwisho,wewe ni mtumishi wa dunia hii sio wa ulimwengu ujao,acha kutumia jina la yesu kwa tumbo lako,shetani amewakamata mmeamua kuliangamiza taifa letu,na sisi hatutawaacha ,the current state of our dear nation is fast filling up its cup of iniquity throug chadema,violence and crime of political gain are filling our nation,and satan is using mchungaji msigwa to torn apart this innocent nation.
The youth who walk the streets are surrounded with handbills and noice of crime and sin,their mind are educated to misbehave and crime,hatred and sin against the government,ole wenu chadema mnaodhani mungu anazibariki kazi hizi za ibilisi.
Mungu lete utulivu watu wako tumalize kazi,yesu urudi kulichukua kanisa lako,amen
Majjid,ubarikiwe,hakika chadema shetani anawatumia kuliangamiza taifa,wewe unayejiita mchungaji hebu Nijibu ni lini Huyu Yesu unedai kumtumikia alikua akihamasisha umma kupinga utawala na kuleta machafuko,wewe ni ajenti wa kuzimu,unatimiza unabii mkuu wa Mungu wa siku za mwisho,wewe ni mtumishi wa dunia hii sio wa ulimwengu ujao,acha kutumia jina la Yesu kwa tumbo lako,shetani amewakamata mmeamua kuliangamiza taifa letu,na sisi hatutawaacha ,the current state of our dear nation is fast filling up its cup of iniquity throug CHADEMA,violence and crime of political gain are filling our nation,and Satan is using Mchungaji msigwa to torn apart this innocent Nation.
The youth who walk the streets are surrounded with handbills and noice of crime and sin,their mind are educated to misbehave and crime,hatred and sin against the government,ole wenu chadema mnaodhani Mungu anazibariki kazi hizi za Ibilisi.
Mungu lete utulivu watu Wako tumalize kazi,Yesu urudi kulichukua kanisa lako,Amen