Kinachoshusha Kiwango cha Huyu Jamaa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
_MG_3659.jpg
Huyu ni ni kiungo mshambuliaji wa Azam,alikuwa mfungaji bora misimu kadhaa aliyopita, lakini msimu huu sidhani hata amefikisha japo goli 4....Amezaliwa mwaka 1989 (kwa takwimu zilizopo) huyu ni huenda atakua ni mke wa tatu (alizaa na demu wake wa kwanza akiwa sekondari tu, akaoa rasmi wa wa pili akamwacha kwa madai alikua anamchuma tu sasa yuko mbioni kubeba hicho kitu hapo....najua mtashuka na nondo zaidi.........
 
View attachment 49100
Jamaa alipewa ushauri mzuri tu na Zolla kwamba arudi nyumbani akaongeze mwali....yeye akaongeza mwanamke.....Huyu ni mkewe wa ndoa wa kwanza...........
 
Nadhani Mrisho amesahau ule msemo wa wajina wake,"ukitaka kula lazima nawe uliwe" sasa yeye alitaka kula bure tu?? Kifaa kimetulia kweli mwache aue kiwango awe kama hasheem.
 
2010 world cup, capello aliwataka wachezaji wa england wawe wanakula uroda kabla ya mechi akiamini kwamba inawafanya wawe wepesi zaidi. Sasa kama yeye alianza akiwa mdogo yawezekana ndio maana alikuwa mfungaji bora sasa amepunguza na uwezo wake uwanjani umepungua!
 
ngasaaaaa choma choma hao si wanajileta lakini usisahau zana tutakuzika mapemaa..
 
Kwa starehe zake wewe inakuhusu nini?
Soma uzi kwa umakini..............ama unafuatilia medani ya soka utajua ni kwa nini Escoba Wajamaica walimuua, au Beckham aliomba ulinzi au ni kwa nini John Terry alinyang'anywa unahodha wa England au kwa nini Taita haitwi timu ya Taifa etc.........
 
Mimi hata siwajuagi wachezaji wa bongo labda angekuwa wa athletic bilbao au benfica. Anaitwa nani?
Anaitwa Mrisho Ngasa mtoto waa kiungo wa zamani wa Timu ya PAMBA, sIMBA NA tAIFA sTARZ, BUT KAMA HUWAJUI HUWAJUI TU,SIDHANI HATA KAMA HILI JIBU LITASWIHI
 
Anaitwa Mrisho Ngasa mtoto waa kiungo wa zamani wa Timu ya PAMBA, sIMBA NA tAIFA sTARZ, BUT KAMA HUWAJUI HUWAJUI TU,SIDHANI HATA KAMA HILI JIBU LITASWIHI

Anamjua,,ameajuaje at first kwamba ni 'mchezaji"hadi akataka awekewe wa timu hizo alizotaja? angekuwa hamjui pasee angeweza mdhani hata ni msanii maana nao wanashuka viwango,,Kuhusu kushuka kwa dogo sio inshu TZ hatuna wachezaji wala hicho unachoita "kiwango'
 
Soma uzi kwa umakini..............ama unafuatilia medani ya soka utajua ni kwa nini Escoba Wajamaica walimuua
Kama ni Andreas Escoba, huyu alikuwa ni beki wa timu ya Taifa ya Colombia si Jamaica na kama ni Pablo Escoba huyu pia alikuwa wa kutoka Colombia lakini shughuli yake kubwa ilikuwa ni biashara ya mihadarati, najaribu tu kuweka mambo sawa.
 
Kama ni Andreas Escoba, huyu alikuwa ni beki wa timu ya Taifa ya Colombia si Jamaica na kama ni Pablo Escoba huyu pia alikuwa wa kutoka Colombia lakini shughuli yake kubwa ilikuwa ni biashara ya mihadarati, najaribu tu kuweka mambo sawa.
Nashukuru sana Mku kwa kuweka sawa, ila wacheza kamari ndio waliomuua kwa kwanyima kwa kusababisha kufungashiwa virago hivyo kutoendelea kufaidi uhondo wa World cup kwani aliifungisha timu yake kwa madai usiku uliofuatia mechi alikesha na toto's club
 
Back
Top Bottom