Kinachoshusha Kiwango cha Huyu Jamaa

Kinachoshusha Kiwango cha Huyu Jamaa

Nondo zipi tena wakati uzi ni wa kwako! Waswahili bwana utawatambua kwa matendo yao.
 
Nondo zipi tena wakati uzi ni wa kwako! Waswahili bwana utawatambua kwa matendo yao.
Shughuli li watu shekhe na hili ni jamvi...................ulitaka nianzishe uzi na nichangie mwenyewe mkuu!!!!
 
Si kushuka kiwango, anacheza kwa uangalifu ili asiumie asije akatemwa na West Ham. Si unakumbuka walimwambia arudi bongo kuongeza kimo? Pia si unajua Seattle Sounders wanasubiri msimu wa usajili ufike? Daah, wachezaji wetu, heri Danny Mrwanda aliyeamua kufia Vietnam !!
 
View attachment 49097
Huyu ni ni kiungo mshambuliaji wa Azam,alikuwa mfungaji bora misimu kadhaa aliyopita, lakini msimu huu sidhani hata amefikisha japo goli 4....Amezaliwa mwaka 1989 (kwa takwimu zilizopo) huyu ni huenda atakua ni mke wa tatu (alizaa na demu wake wa kwanza akiwa sekondari tu, akaoa rasmi wa wa pili akamwacha kwa madai alikua anamchuma tu sasa yuko mbioni kubeba hicho kitu hapo....najua mtashuka na nondo zaidi.........
Naskia utaaaaaaaamu! Kitu kimetulia, halafu kinaita. Hongera kijana kwa kula mali safi.
 
Back
Top Bottom