Kinachopata moto ni simu au betri ?

Kinachopata moto ni simu au betri ?

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,040
Kwema waungwana?
Kama kichwa cha habari kinavyonyesha,simu yangu nikishaweka betri baada ya kuitumia mfululizo bila kuipumzisha inapata sana moto,kiasi cha kwamba hata betri inawahi sana kuisha chaji.Naipumzisha simu inakuwa ya imepoa.Nikachukua full charge battery la mtu mwingine naliweka kwenye simu yangu,mwendo ni ule ule,baada ya kuitumia mfululizo bila kuipumzisha inakuwa ya motooo halafu betri inawahi kuisha.Cha ajabu betri hilo hilo lililoisha nikiweka kwenye simu nyingine bado inadunda.Hivi,SIMU KUPATA MOTO INACHANGIA KUISHA KWA BETRI HARAKA?
 
Simu zinafanya kazi kama desktop au laptop... Processor inapofanya kazi nyingi na pia inapata joto zaidi ndo maana huwa kuna njia za kupooza system zilizoundwa ndani ya vifaa hivyo. Na kwa simu ni issue ile ile. Ila sasa zinapofanya kazi muda mrefu bila kupumzika hata hiyo cooling system inachoka na ynyw.
Battery inaweza kupata moto pia kwa sababu kiwango cha umeme inachobidi isupply kwny system kinakua kikubwa kutokana na matumizi makubwa. Chemical reactions huwa zinaproduce heat kwa hiyo processor ina overheat kutokana na kazi na battery ina overheat kutokana na kusupply umeme. Aka inaescrow heheheh.
Hayo no mawazo yangu tu mkuu
 
kama alivyosema vladtepes kuwa simu ikifanya kazi kwa muda mrefu, processor inapata moto, na pia transistor zinazokuwemo, zinazofanya kazi huwa zinapata moto, kitu ambacho kinaitwa THERMAL RUNAWAY ambapo na pia kwa jinsi lile joto linavyoongezeka ndipo inaathiri betri na kusababisha upotevu wa nishati(Energy loss) ambapo nishati ya betri huwa inapotea; ndipo husababisha betri kuisha mapema.
 
Back
Top Bottom